Mbowe na wenzako acheni kumzushia uongo Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
JK ni International figure, ana heshimika kimataifa, tumwache aendelee na majukumu yake ya kimataifa yanagharamiwa na wahusika wanaomwalika.

Nimefuatilia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wanajaribu kupotosha kuhusu safari za Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

Nawakumbusha kuwa nchi yetu ina historia ya kuheshimika kimataifa tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Alipostaafu alikuwa na majukumu ya kimataifa. Kutokana na heshima aliyojijengea kimataifa na mchango wa Tanzania kimataifa.

Mwalimu aliweka msingi ambao bado unaheshimika. Mtakumbuka Hayati Rais Ben Mkapa baada ya kustaafu naye pia alipewa majukumu kadhaa ya kimataifa na hivyo alikuwa akihudhuria vikao vingi nje ya nchi.

Ndugu zangu watanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete naye pia amebeba vema bendera ya Tanzania kimataifa kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake. Tusimbagaze kwa maslahi binafsi. Anawakilisha nchi kutokana na historia na heshima ya nchi yetu kimataifa iliyojengwa na mwasisi wa taifa letu.

Lakini pia tusisahau mchango wake binafsi alipokuwa kiongozi wa taifa letu umemjengea heshima kubwa kimataifa. Tukubali tu anao uwezo na ndio maana anapewa majukumu ya kimataifa na taasisi za kimataifa.

UKWELI KUHUSU SAFARI ZAKE ZA HIVI KARIBUNI NJE YA NCHI NI;

Mbowe,Kigogo na Maria just got it wrong.
Safari ya JK Addis Ababa ya trh 17 mpaka 22 February, 2024 ilikuwa kwa ajili ya kushiriki mikutano miwili;
1) High Level Panel on Water Investment in Africa na Green Climate Fund. Mh. Jakaya Kikwete ni Alternate Co-Chair wa hiyo High Level Panel. Co chairs wenyewe wa hiyo panel ni Macky Sall, Rais wa Senegal, the late Hage Geingob Rais wa Namibia aliyezikwa Feb25 mwaka huu na Mark Rutte, Waziri kutoka Uholanzi.

Mkutano mwingine ni ule wa Heads of State Domestic Financing for Education in Africa,ulioandaliwa na Rais wa Ghana Mheshimiwa Nana Akufo Ado na GPE in Africa. Mh. Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya GPE na Rais wa Ghana ndiye Champion wa kuhamasisha nchi kuongeza bajeti za elimu.

Walipomaliza shughuli ya mkutano wao wa masuala ya elimu Mh. JK na Rais wa Ghana walikwenda kujumuika na wakuu wa nchi kwenye uzinduzi wa sanamu ya Julius Nyerere.

Mikutano yote miwili ilikuwa inahusisha Marais waliokuwa wanahudhuria mkutano wa AU pale Adis Ababa.

Kusema kila safari za Rais J.K yupo ni uongo wa kitoto. J.K alikuwa na majukumu yake ya kimataifa yaliyomfanya naye kushiriki katika majukumu ya Marais. Sio kitu rahisi kumuondolea heshima aliyojijengea kimataifa kwa kumsingizia uongo. Ikumbukwe safari za kimataifa zinazohusu shughuli za kimataifa anazoshiriki huwa zinagharamiwa na wahusika sio fedha za serikali.

Ataendelea kushiriki shughuli zake za GPE,Global Water Partnership(GWP),High Level Panel on Water Investment in Africa, SADC Panel of Elders,Africa Food Prize Committee bila kukosa. Kwanza tumshukuru kwa kupaisha brand ya taifa letu.

Mnawajua ambao wanaambatana na mama kila safari hata kama sio waajiriwa wa Serikali.

Sio sawa kumbagaza Rais Mstaafu. Mwacheni atekeleze majukumu yake ya kimataifa kwani ni heshima kwa taifa letu.

Kama hamjui habari ndio hiyo.

Mimi nilikuwepo huko Adis na nimeona nieleze huu kweli ili kuwaelimisha watanzania kuhusu uongo wanaoaminishwa kwa sababu za kibinafsi za kutaka kumchafua huyu mzee anayeheshimika duniani.
 
Mkuu utapata tabu na Mbowe umesahau ndio walituambia Lowassa na kingunge ni mafisadi mwisho wa siku wakatuambia ni muadilifu na deki wakampigia!
Ina tegemea nawe unalipokea kwa angle gani, lakini hata Samia alituambia Mbowe ni gaidi na wenzake walishahukumiwa kifungo lakini ndio yeye huyo akaja kujifungia naye Ikulu akimsifu kuwa "kaka Freeman ni mpenda maridhiano"

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kuahidiwa marupurupu na bahasha nene!
 
JK ni International figure, ana heshimika kimataifa, tumwache aendelee na majukumu yake ya kimataifa yanagharamiwa na wahusika wanaomwalika.

Nimefuatilia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wanajaribu kupotosha kuhusu safari za Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

Nawakumbusha kuwa nchi yetu ina historia ya kuheshimika kimataifa tangu awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Alipostaafu alikuwa na majukumu ya kimataifa. Kutokana na heshima aliyojijengea kimataifa na mchango wa Tanzania kimataifa.

Mwalimu aliweka msingi ambao bado unaheshimika. Mtakumbuka Hayati Rais Ben Mkapa baada ya kustaafu naye pia alipewa majukumu kadhaa ya kimataifa na hivyo alikuwa akihudhuria vikao vingi nje ya nchi.

Ndugu zangu watanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete naye pia amebeba vema bendera ya Tanzania kimataifa kama ilivyokuwa kwa watangulizi wake. Tusimbagaze kwa maslahi binafsi. Anawakilisha nchi kutokana na historia na heshima ya nchi yetu kimataifa iliyojengwa na mwasisi wa taifa letu.

Lakini pia tusisahau mchango wake binafsi alipokuwa kiongozi wa taifa letu umemjengea heshima kubwa kimataifa. Tukubali tu anao uwezo na ndio maana anapewa majukumu ya kimataifa na taasisi za kimataifa.

UKWELI KUHUSU SAFARI ZAKE ZA HIVI KARIBUNI NJE YA NCHI NI;

Mbowe,Kigogo na Maria just got it wrong.
Safari ya JK Addis Ababa ya trh 17 mpaka 22 February, 2024 ilikuwa kwa ajili ya kushiriki mikutano miwili;
1) High Level Panel on Water Investment in Africa na Green Climate Fund. Mh. Jakaya Kikwete ni Alternate Co-Chair wa hiyo High Level Panel. Co chairs wenyewe wa hiyo panel ni Macky Sall, Rais wa Senegal, the late Hage Geingob Rais wa Namibia aliyezikwa Feb25 mwaka huu na Mark Rutte, Waziri kutoka Uholanzi.

Mkutano mwingine ni ule wa Heads of State Domestic Financing for Education in Africa,ulioandaliwa na Rais wa Ghana Mheshimiwa Nana Akufo Ado na GPE in Africa. Mh. Kikwete ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya GPE na Rais wa Ghana ndiye Champion wa kuhamasisha nchi kuongeza bajeti za elimu.

Walipomaliza shughuli ya mkutano wao wa masuala ya elimu Mh. JK na Rais wa Ghana walikwenda kujumuika na wakuu wa nchi kwenye uzinduzi wa sanamu ya Julius Nyerere.

Mikutano yote miwili ilikuwa inahusisha Marais waliokuwa wanahudhuria mkutano wa AU pale Adis Ababa.

Kusema kila safari za Rais J.K yupo ni uongo wa kitoto. J.K alikuwa na majukumu yake ya kimataifa yaliyomfanya naye kushiriki katika majukumu ya Marais. Sio kitu rahisi kumuondolea heshima aliyojijengea kimataifa kwa kumsingizia uongo. Ikumbukwe safari za kimataifa zinazohusu shughuli za kimataifa anazoshiriki huwa zinagharamiwa na wahusika sio fedha za serikali.

Ataendelea kushiriki shughuli zake za GPE,Global Water Partnership(GWP),High Level Panel on Water Investment in Africa, SADC Panel of Elders,Africa Food Prize Committee bila kukosa. Kwanza tumshukuru kwa kupaisha brand ya taifa letu.

Mnawajua ambao wanaambatana na mama kila safari hata kama sio waajiriwa wa Serikali.

Sio sawa kumbagaza Rais Mstaafu. Mwacheni atekeleze majukumu yake ya kimataifa kwani ni heshima kwa taifa letu.

Kama hamjui habari ndio hiyo.

Mimi nilikuwepo huko Adis na nimeona nieleze huu kweli ili kuwaelimisha watanzania kuhusu uongo wanaoaminishwa kwa sababu za kibinafsi za kutaka kumchafua huyu mzee anayeheshimika duniani.
Ulichoeleza ni sawa. Ila kwenye heading umemuweka Mbowe- anahusikaje?
 
mbowe anamchukua JK kwasababu anahisi ndie anaemzuia Rais Dr SSH asimualike mbowe ikulu kulamba asali :p
 
6)Rais Samia alikuwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa AU na Rais Mstaafu JK alikuwa kwenye mikutano yake miwili.

a)Wa kwanza ni High Level Panel on Water Investments in Africa and Ambassadors Side Event. Mstaafu JK ni Alternate Co-Chair wa hiyo High Level Panel ambayo Co-Chairs wake ni Macky Sall Rais wa Senegal,Hage Geingob aliyekuwa Rais wa Namibia na Mark Rutte Wazri Mkuu wa Uholanzi. Aidha JK ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership(GWP)for Southern Africa ana Africa Coordination. Mkutano huu uliandaliwa na Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na GWP. JK ndiye aliyetoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano kwa niaba ya High Level Panel.

b)Mkutano wa pili ulikuwa Heads of State Domestic Finance on Education in Africa. Mkutano huu uliitishwa na Rais wa Ghana Nana Akufo Ado na kugharimiwa na GPE.Rais wa Ghana,Chair AU na JK walitoa hotuba za ufunguzi.

7)Baada ya mkutano huo Rais wa Ghana na JK walikwenda kujiunga na viongozi wengine, kwenye uzinduzi wa sanamu ya Mwalimu Nyerere.Miongoni mwao alikuwepo Rais Samia kama ilivyoonekana kwenye picha.

Kama lililowakera ni Rais Samia kwenda Namibia na Rais Mstaafu JK,ukweli ni kwamba yeye hauwa wa kwanza.Mwaka 2015 wakati wa kuapishwa Rais Hage Geigob alipochaguliwa kwa mara ya kwanza,JK akiwa Rais wa nchi yetu wakati ule alikwenda na Marais Wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa.Mbowe,Maria na Kigogo na wenzao walikuwepo lakini hawakusema haya wanayosema sasa. Wakati wa kuapishwa Rais Ramaphosa wa Afrika Kusini,Rais Magufuli alikwenda na Rais Mstaafu JK.Akina Mbowe,Maria na Kigogo walikuwepo hawakusema.JK alipokuwa Rais, alipokwenda kwenye mazishi ya Nelson Mandela,Afrika Kusini, aliwachukua Mama Maria Nyerere na Mama Vicky Nsilo Swai hapakuwepo na maneno.

Swali la kujiuliza ni kwa nini sasa?
 
8)Safari za nje anazofanya JK hugharamiwa na mashirika na taasisi zinazomualika.Hulipia usafiri, chakula na malazi.
IMG-20240301-WA0022.jpg
IMG-20240301-WA0023.jpg
 
At least wewe unaonekana ni chawa uliyeenda shule angalau...siyo kama ndugu yetu Lucas maana hata majina ya viongozi akina Mark Rutte unajua kuyaandika vizuri
Keep it up mkuu.
 
Una chuki na Mmachame mwenzako.
 
Back
Top Bottom