Imenishangaza - ina maana.......

Imenishangaza - ina maana.......

Sasa naelewa kwanini ni rahisi sana kwetu kufeli mitihani mingine rahisi kweli. Watu wamekwazwa na suala la pointi nyingine kuwa zaweza kuwa pumba? Kumbe suala halihusiani na contents ya posts bali ya pattern ya utoaji thanks!!

Wakati watu wanafikiria yote ni random ukiangalia kwa karibu utaona kuwa kuna pattern.... msomi anauliza why this pattern?

Watu hawataki kufikiria hili swali wamebakia kufikiria "thanks"!! Ningekuwa mwalimu ningeweka zile zenye masikio!!
 
nadhani mtoa mada ana kitu zaidi ya hiki tunachokiona
hata miye naanza kukubariana na wewe, maana kama ni thanx, huo ni utashi mtu husika kutoa amalah,

mfano mimi nina marafiki wangu wawili niliokuwa nakua nao, tukiwa kwenye teenage
maisha kama tunavyojua kila mtu akasambaa, huyu kule hawa huku, nilipotembelea kwetu,
nikafurahi sana kuwakuta wakiwa na afya njema, na tukafurahiana sana, baada siku moja kucha,
nikato 20,000 nikampa kila kumi elfu mmoja alinishukuru sana kwa kuonesha upendo kwake,
na wa pili alishukuru kimitindo sikujari kwa vile sikuwapa ili wanishukuru

baadae, nikajitenga kidogo ila sikuwa mbali nao, nikamsikia yule wapili akimwambia mwenziye
aaah! anajifanya amekuja na helaaa! yaani ananipa mimi 10000, si angenipa mimi 50,000 kama
anazo nyingi, yule wa kwanza akamjibu, shukuru hata kakupa hiyo mbona wengine wakija huku
wanatudharau

pointa yangu ni kwamba thanx si kitu muhimu sana, ila swala ni je umeridhika? unaweza kutoa thanx
na hujaridhika bali ukatoa tu
 
pointa yangu ni kwamba thanx si kitu muhimu sana, ila swala ni je umeridhika? unaweza kutoa thanx
na hujaridhika bali ukatoa tu

mweh.. hivi ni kazi sana kuelewa anachokiuliza mtoa mada maana tumehama kabisa kwenye hoja na kubakia kufikiria merits za thanks na no thanks.. Imebidi nibakie kucheka tu.
 
Binafsi napenda kusoma posts sana zaidi ya kuchangia hivyo nikiona maudhui ya mada ni ni mazuri/imenifurahisha au sina la kuongeza natoa hiyo 'thanks' sanasana mada mpya..
Halafu kuna muda mwingine unaandika kwenye jukwaa fulani mtu anaku-qoute hivyo kama sitoweza kujibu muda ule au nimeona baada ya siku mbili tatu natoa'thanx' ku-aknowledge kuwa nimepitia na kusoma alichoandika.

All in All,kutoa 'thanks' haimaanishi unashukuru sana au la ni mazoea kama tu muda mwingine kutokana na tafsiri ya mtu!..
 
Kuna watu wanapeana thanks kirafiki, kwamba huyu rafiki yangu nampa thanks mara nyingi.

Kuna watu wengine wavivu wa kutoa thanks, hata utoe mchango mzuri vipi hawatoi thanks.

Kuna wengine (especially Mwanakijiji) hata umtukane, atakupa thanks. Anatoa thanks kama pipi.

Kuna wengine tuna maposition yako ki radical radical na ingawa tunasema ukweli na vitu vyenye kutikisa mbongo, lakini kwa sababu tunatishia status quo na age old traditions michango yetu inaweza isithaminiwe kama inavyostahili.

Bottom line, thanks haziwezi kukupa picha kamili ya umuhimu wa michango.Si kila kitu kinaweza kuwa computerized/ programmed into a matrix of metrics.

Watu wanashindwa kupima IQ, itakuwa kupima michango ya JF?
 
Mimi sijawahi kutumia hiyo button ya thanx, kusema ukweli sioni umuhimu wake humu JF.

Edit: Nimeona nina thankx kadhaa lol, zinasaidia nini hizi? Ntaanza kuzitoa kama mnazipenda.
 
Thread hii haijengi kitu kwa members, na vile vile metric unayotumia siyo sahihi.


Kwa vile umejiunga mwezi jana tu, unaweza kuwa hujui yote hayo. Ningekushauri uwe unatumia forum hii effectively kubadilishana mawazo na wanachama kwa namna mbalimbali kwa vile kuna wanachama wenye ujuzi wa aina mbalimbali na kwa caliber za ajabu sana. Hata kama usipochangia mada, unaweza kukaa kimya na kufuatilia mada mbalimbali kadri watu wanavyozichambua. Kwenye ukumbi kama huu kutakuwa na watoa pumba na watoa mchele; ni wajibu wako kuchambua mchele ni upi na pumba ni zipi. Ni jambo la kawaida sana hapa watoa pumba kupena credit na watoa mchele pia kupeana credit, kwa hiyo swala la kuangalia ni nani kapata credit nyingi linaweza lisikusaidie sana katika matumizi yako ya forum hii.

Hii kitu ni ukweli mtupu.Natoa rai kwa wana-JF wote kuzingatia hili maana kuna nyakati michango mingine inaleta doubts kubwa sana kuhusu huelewa wa mchangiaji...kwa hiyo si jambo baya kutumia nafasi nyingine kusoma tu.Si kila wakati tunapaswa kuandika jamani.Tusikilize na tuchangie mara tunapoona tunajambo zuri la ku-share na wengine hayo mambo ya kuchangia changia tu ili mradi tu nafakiri yanasusha hadhi ya forum.Hivi karibu kuna some JF Expert Members wamekuwa wana-michango mpaka tunapata wasiwasi juu ya hadhi zao kwenye JF...tunapata mashaka kwa kweli!
 
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!! ndiyo maana we will never get things right.. hoja ndogo kweli watu wanajadiliana umuhimu wa "thanks"! au the lack of it thereof.. mada haihusu "umuhimu wa thanks"... na haihusu kama unatakiwa kutoa thanks au usitoe.. tafadhali rudini msome tena taratibu..

Kuna msemo watu wanadandia treni kwa mbele.. this is a classic example..
 
grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!! ndiyo maana we will never get things right.. hoja ndogo kweli watu wanajadiliana umuhimu wa "thanks"! au the lack of it thereof.. mada haihusu "umuhimu wa thanks"... na haihusu kama unatakiwa kutoa thanks au usitoe.. tafadhali rudini msome tena taratibu..

Kuna msemo watu wanadandia treni kwa mbele.. this is a classic example..

MKJJ... WAACHE wadandie kwa mbele ..wataipata habari yao...
Kielelezo cha uvivu wa Watanzania TULIVYO WEPESI KURUKIA JAMBO KATIKATI! Someni katikati ya mistari jamani.... ISHU SIYO KAMA THANKS ZINAFAA AMA HAZIFAA, SIYO KAMA KWANINI WATU WANATOA AU HAWATOI!!
 
5.Abduhalim
Posts:8,700
Thanks : 505
Thanked 1,319 Times in 881 Posts

Mdau , kumbukumbu zangu hazioneshi kwamba uliomba ruksa kutumia takwimu zangu.

Beware, this could lead to serious legal repercussions, if repeated in the future, without prior notice and grant of permission in writings, the said being recorded in a piece of hard-copy and/or electronic form within a readable domain of finite space, showing my legal seal and/or signature and time in (yy/mm/dd) form.

Next time u will be hearing from my lawyer!!!
 
Mdau , kumbukumbu zangu hazioneshi kwamba uliomba ruksa kutumia takwimu zangu.

Beware, this could lead to serious legal repercussions, if repeated in the future, without prior notice and grant of permission in writings, the said being recorded in a piece of hard-copy and/or electronic form within a readable domain of finite space, showing my legal seal and/or signature and time in (yy/mm/dd) form.

Next time u will be hearing from my lawyer!!!

Mpemba.................Nimeipenda sana hii aise
 
Katika mabandiko ni nadra sana hata kwa wale magwiji kupewa thanks katika asilimia zaidi ya 30 ya mabandiko yote. Mathalani kama mtu kabandika mara 10,000, asante atakazopokea zinacheza kwenye mabandiko yasiyozidi 3,000!! Ina maana mabandiko 7,000 ni pumba? Hebu angalieni wenyewe - chukua id ya mtu yeyote hasa wale mahiri wa kubandika, angalia kabandika mara ngapi kisha kapongezwa mara ngapi mtajionea wenyewe - inacheza kati ya asilimia 10 na 30, haizidi 1/3 ya mabandiko yake.
rejea hapo juu, usitake kuniambia kuwa wewe umemwelewa tofauti na hivyo, nitakuwa na mshaka na njia uliyoitumia kumwelewa
mweh.. hivi ni kazi sana kuelewa anachokiuliza mtoa mada maana tumehama kabisa kwenye hoja na kubakia kufikiria merits za thanks na no thanks.. Imebidi nibakie kucheka tu.
Mwanakijiji, hupaswi kucheka, mimi nadhani nimemulewa tofauti na wewe, lengo lake ni kwanini? thanks haziendani na idadi ya post?
una post 10000, vipi uwe na thanks 120? ina maana posti zingine ni pumba?
 
Anyisile.. the question is about pattern of thanks... hilo la pumba ilikuwa ni off comment of speculation ya hiyo pattern...
 
Back
Top Bottom