Imenishangaza - ina maana.......

Imenishangaza - ina maana.......

Anyisile.. the question is about pattern of thanks... hilo la pumba ilikuwa ni off comment of speculation ya hiyo pattern...

Mwakijiji wewe nadhani ni amango top thanked member humu JF. Hata hivyo, only 10.05% ya post zako 19812 ndio zilizokuwa thanked!

Is it that the more you post the less the % frequency of being thanked?

Let me go and check on the % of thanks for least thanked member.
 
jueni tu kuwa humu ndani kuna wapwa na mabinamu ambao wana kampeni ya kuinuana kwa staili hiyo. thanks nyingi zinapatikana kwenye majukwaa mawili - siasa na malovee. hizi za siasa sina ubishi nazo ila humu kwenye malove watu wanawekewa maasante kwa posts na topic ambazo wala huoni sababu ya kujaziwa maasante hivyo kisa tu kuna mtandao fulani waliojiwekea. ukweli ndio huo
 
:behindsofa:...Mh... Babu kakasirika sasa... Bakora nje nje...:bolt:

Babu angelikuwa mwalimu... Duh! Nakumbuka walimu wa wakati wetu kusoma. Mikwaju tu..... hadi kieleweke.:biggrin1:
 
Mdau , kumbukumbu zangu hazioneshi kwamba uliomba ruksa kutumia takwimu zangu.

Beware, this could lead to serious legal repercussions, if repeated in the future, without prior notice and grant of permission in writings, the said being recorded in a piece of hard-copy and/or electronic form within a readable domain of finite space, showing my legal seal and/or signature and time in (yy/mm/dd) form.

Next time u will be hearing from my lawyer!!!


u r not serious!
 
Mwakijiji wewe nadhani ni amango top thanked member humu JF. Hata hivyo, only 10.05% ya post zako 19812 ndio zilizokuwa thanked!

Is it that the more you post the less the % frequency of being thanked?

Let me go and check on the % of thanks for least thanked member.

your findings plsss!
 
wakuu, thanks nyingine zilifutwa; wengine uchache wa thanks una-reflect michango yao; wengine uingi wa thanks una mengi ndani kama vile majukwaa nk. na hata kwenye majukwaa uingi wa thanks unashabihiana na itikadi zinazofanana

Its an interesting observation lakini sidhani kama ina-add value kwenye quality ya posts au threads tunazoanzisha

needs change with time
 
WEWE TEAMO na wengine ambao hamjaelewa ninachoongelea hapa:
1. Hapa hakuna malalamiko wala nini - ni katika kuona kitu kikakuvuta ukifanyie upembuzi.
2. Nime sema pattern ya thanks inacheza kati ya asilimia 10-30 ya total posts kwa wastani.
3.Haijalishi wewe una shukrani kiasi gani kwa wenzio- mfano wa Mwanakijiji ulioutoa hapa, ni kweli MKJJ yuko mkarimu sana kusema asante hata pale ambapo kachangiwa michango isiyo mizuri sana.Bado anatambua mtu kutumia muda wake na computer yake kuweka wazo kimaandishi. NAMPONGEZA KWA USTAARABU HUU. Kuna wenye kutoa asante hata bila kuwa na sababu kubwa kivile - hii ni kwenye utani zaidi na hili linaeleweka.
4. Mwisho wa siku pattern ya 10-30% of posts, mark you - posts SIZUNGUMZII THANKS hapa- prevails na ndicho ninachokijali ... Chukulia mfano Mwanakijiji - Posts 19,795 kashukuriwa katika posts 1,976 WHICH IS IN THE CATEGORY OF 10%! haikushangazi?

TM;
ungekuja na TREND ANALYSIS ya obervation yako nafikiri ungepata THANKS nyingi sana kuliko ku-generalize na kusema ni 10% - 30%. Sijui kama kuna "positive correlation" kati ya post kumvutia msomaji na yeye kutoa thanks. Mfano binafsi ninaweza kutoa thanks kwa mtu just kuonesha kuwa alichoandika si sahihi na mimi sikifurahii. Mtu anaweza kunibishia kitu ambacho just anabisha, sasa kwa kuonesha kuwa mimi na yeye ni "maji na mafuta" katika kufikia muafaka ninampatia thanks ili kumaliza mjadala. But at the same time kuna michango huwa inanivutia sana na kunifanya nitoe thanks kwa kuonesha ninakubaliana na kilichondikwa badala ya mimi kuandika the same. Pia ninatoa thanks as a reward for someone used his time and sometimes resources kufuatilia jambo ambalo ni "Pro bono". Thanks pia inaweza kuwa kama motivating factor kwa wao ambao ni instrinsicly motivated na kuwafanya kuchangia zaidi na kuleta kufikirisha zaidi jamvini. Kwa hiyo thanks isitazamwe kwa positive side only, but in all possible scenarios which is very complex to come into conclusion by simple obervations.
 
Kupewa thanks chache haina maana ya kuwa maandiko yana pumba
 
kumbe hata ukilalamikia "thanks za takrima " za wapwa na mabinamu nawe watakuongea "thanks"....
lol, thanks, thanks for all..
 
Usemi huu huwa una maanisha nini? Huwa naona watu wakiutumia lakini nina shaka kama tunajua maana halisi ya usemi huu!

Kitu kisicho na maana kabisa! Upuuzi ! Ujinga etc etc ninavyoelewa mimi

Mtu akikwambia this is below the belt na Very low these words can be used interchangeably.....nadhani nimeasidia kidogo
 
Kitu kisicho na maana kabisa! Upuuzi ! Ujinga etc etc ninavyoelewa mimi

Mtu akikwambia this is below the belt na Very low these words can be used interchangeably.....nadhani nimeasidia kidogo

Asante baba paroko
 
na wewe umekuja kupata neno (Thanks) wewe tangu ujiunge hapa sasa mpaka sasa ni miezi 9 bado tu hujatowa mchango wako hapa kwenye hii Jamii Forums? hebu mtizameni huyu mpaka hii leo yupo kwa jina hili (
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 23rd May 2010
Location : Solomon Island
Posts : 388
Thanks 166 Thanked 235 Times in 132 Posts






Rep Power : 21

Mumekuja kufuata nini hapa Jamii Forums? Jamii forums inaongozwa na Wanachama waliohai sio mtu kama wewe upo zaidi ya miezi 9 hujachangia tu mpaka leo unajaza

tu Server kwa Thread zako za malalamiko tuache tu, Mimi ninachojali kwenye Topic yoyote kutowa mawazo yangu sijali ukinipa (Thanks ) yako au hata kama hutanipa ( thanks) haitonisaidia kitu chochote kile wacha kuleta pumba hapa
 
Hii hoja inaweza kupelekea baadhi ya watu kudhani kwamba kupata thanks ndiyo motivation ya kuwa umesema kitu cha maana na kuwa na thanks nyingi maana yake you are the greatest thinker. Uzuri wa hii itakuwa kwamba kuna watu watakuwa wanajitahidi kuongea sense tu na humor ili wapewe asante. Lakini hatari yake ni kwamba watu watakuwa na thinking ambayo iko too conditioned towards seeking thanks than kujadili jambo kwa uwazi na ukweli. Kwa ujumla watu watakuwa wanafiki na wa kujipendekeza.

Thanks or No thanks, life should still be dignified at JF
 
Ila kuna watu wengine wabishi unakuta mtu ana michango 1000, hajatoa thanks hata moja ila yeye kapewa thanks nyingi tu!
 
Post nyingi za watu huwa hazina maana au content. Mfano mtu anaandika

  1. Nitarudi baadae
  2. No comment
  3. crap
  4. pumba
nk, idadi ya post zake inaongezeka, lakini wewe kama great thinker utatoa thanks ya nini kwenye comment kama hizi
 
Back
Top Bottom