Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,665
- 119,287
Wanabodi
Naendelea na zile mada zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni mada za uzalendo kutoka kwa mzalendo wa kweli wa taifa hili. Mada ya leo ni kujadili moja ya Idara zetu nyeti sana, hapa nchini kwetu, hii ni idara yetu ya Usalama wa Taifa, TISS.
Introduction ya Mada
Hii ni mada very serious and sensitive kwasababu inaijadili idara yetu nyeti ya TISS ambayo kutokana na unyeti wake issues za idara hii huwa hazijadiliwi hovyo hovyo, wazi wazi na openly na kwa uwazi, hivyo ukiona hadi watu tunaojinasibu humu kuwa ni wazalendo wa kweli wa taifa hili halafu tukajitokeza openly waziwazi humu kuijadili TISS huku tukitumia majina yetu halisi, huu ni uthibitisho kuwa tunaleta mjadala huu kwa nia njema kabisa kwa kusukumwa na uzalendo wa kulisaidia taifa letu pale idara yetu hii nyeti, inapochafuliwa kwa kusingiziwa tuhuma za uongo, bila uthibitisho wowote, lakini pia kama ni kweli TISS inahusika, na hawa 'wasiojulikana', then tukubaliane kuwa TISS itakuwa ni imechafuka na inahitaji kusafishwa, the sooner the better!.
Topic ya mjadala huu ni TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!, wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika kuhusika, wafumuliwe kwa kusafishwa tujenge TISS safi yenye uadilifu wa mke wa Kaizari!
Hivyo naomba mjadala huu ufanyike kwa heshima, staha na uangalifu mkubwa ili bandiko hili lisionekane ni bandiko la kukosa uzalendo kwa ķuibagaza idara hii nyeti, yenye heshima kubwa, bali liwe ni bandiko la uzalendo wa kweli kwa taifa letu lenye lengo la kusadia taifa letu kwasababu haya matukio ya ajabu ajabu yanayohusishwa na TISS, yanaichafua heshima na taswira mzuri ya TISS yetu, ambapo kikawaida TISS inapaswa kuwa kama Ikulu, Ikulu ni mahali patakatifu, na TISS inapaswa kuwa ni Idara takatifu, uadilifu wa TISS, unapaswa uwe ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa ambao haupaswi kutiliwa shaka yoyote, unapaswa kuwa ni uadilifu wa kiwango cha mke wa Kaisari, ile kutuhumiwa tuu ni kosa tosha hata bila kuthibitishwa!, anahukumiwa!, hivyo hizi tuhuma mbalimbali za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji zinazoelekezwa TISS bila ya kukanushwa, zinapelekea TISS yetu kuhukumiwa na mahakama ya umma ambayo haihitaji ushahidi kama tuhuma tuu za mke wa Kaisari, hivyo lengo la bandiko hili ni ushauri wa bure kwa TISS yetu kuwa haya mambo mabaya ambayo TISS inanyooshewa kidole kuwa inahusika, kama haihusiki, TISS i come to an open, ikanushe!, ukituhumiwa tuhuma za uongo, ukinyamaza kimya bila kukanusha, hiyo silence inachukuliwa kama ni admission of guilty!.
Declaration of Interest
Tunapojadili jambo nyeti kama hili, ni vizuri ku declare interest ili kwanza kujenga imani kwenu wasomaji wangu kuwa mwandishi wa makala hii ni mtu wa kuaminika, hizi data kwenye bandiko hili ni data za kuaminika authentic, bonafide genuine from trusted sources na sio data za kuokoteza, data za kubuni, kuzua, au kuunga unga, hivyo ni vyema mimi nikajitambulisha kidogo kwenu, pia kwa sababu mtu unapotoa data nyeti from time to time katika mabandiko yako, huchelewi kunyooshewa kidole kuwa huyu jamaa ni TISS, hivyo na mimi kudhaniwa ni TISS, hivyo bandiko kama hili, litawafungua macho wengi humu kuwa huyu mtoa mada atakuwa ni TISS wa ajabu sana kuilaumu ofisi yake mitandaoni!.
Mimi Pascal Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kuandika Investigative Stories, (IJ), ila pia nimepata bahati ya kuzaliwa na kukulia katika familia ya TISS kwa wazazi wangu wote wawili, baba na mama. Baba Mzee Andrew Mayalla (RIP) ameishatangulia mbele ya haki, na mama bado yuko hai, hivyo baadhi ya hoja zangu za kiitelijensia, sio kwasababu mwana wa nyoka ni nyoka, bali mtoto ukizaliwa kwa wazazi wote wawili ni wana inteligensia wa TISS, unazaliwa na natural intelligence ambayo ni tool muhimu sana kuweza kuwa Investigative Journalist.
Tuhuma Mbalimbali TISS
Kuna matukio mbalimbali yametokea na kuhusishwa na TISS, mengine ni visible, mengine ni invisible, sasa kwa sababu watu wote wenye akili timamu, wanajua TISS zote duniani huwa zinafanya matukio, yale matukio ambayo in invisible yanayohusishwa na TISS, kama kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda, sitahitaji TISS wajitokeza kuyakanusha kwasababu ni tuhuma za hisia tuu, lakini kwa yale matukio visible kama kushambuliwa kwa Tundu Lissu, kuvamiwa kwa Clouds Media na wale makirikiri wa Mkuu wa Mkoa wa DSM na yule mpuuzi aliyemtishia bastola Waziri Nape kuelezwa kuwa wale ni TISS kunaichafua idara yetu nyeti ya TISS!. Hivyo kama wale makirikiri waliovamia Clouds TV sio watu wao, TISS wasikae kimya wajitokeze wawakane na kukanusha uhusika wa TISS!. Kama yule mpuuzi aliyemtishia Nape kwa bastola sio mtu wao, TISS wajitokeze wamkane na wakanushe. Huku kutokea kwa matukio kama haya na kuhusishwa na TISS, halafu TISS wanajua sii kweli, sii wao, huku kukaa kimya bila TISS kukanusha uhusika wake, kunachukuliwa ni admission of guilt!.
Jee Tuhuma za Uhusika wa TISS zinatolewa Wapi na Zinatolewa na Nani?.
Nyingi ya tuhuma za kuhusika kwa TISS katika baadhi ya matukio ya hovyo, huanza kwa kutolewa na watu tuu wa kawaida, tuhuma zinapotolewa na watu wa kawaida tuu, watu ambao they are nobody, na zinatolewa kwenye vijiwe vya kahawa, it is right, kuzipuuza, lakini tuhuma hizi dhidi ya TISS zinapofikia kiwango cha kutolewa ndani ya Bunge letu Tukufu, tuhuma hizi sio za kuzipuuzia hata kidogo!, kwasababu Bunge ni chombo rasmi, wabunge wetu ni wawakilishi rasmi wa wananchi, wanapoituhumu TISS Bungeni, this is something very very serious!, sio jambo dogo la kupuuziwa!, kwasababu TISS iko chini ya Ikulu yetu, haiwezi kufanya mambo ya hovyo bila mwenye ikulu yetu kujua au kuhusika!, na Ikulu ni mahala patakatifu, tuhuma tuu kumhusu mke wa Kaisari zinatosha kumuondoa Ikulu asije akapanajisi patakatifu petu!. Hiyo TISS isikae kimya lazima iibuke kuja kukanusha kutohusika kwake na kujisafisha na uchafu wa makandokando haya!, winginevyo kama ni kweli inahusika, ijitathimini yenyewe kwa kuwajibika au iwajibishwe kwa kusafishwa!.
Jee TISS ni Chafu Inahitaji Kusafishwa?.
Huu mjadala unaoendelea kuhusu utekaji, utesaji na mauaji ambavyo vinahusishwa na idara yetu nyeti ya Usalama wa Taifa, TISS ni uthibitisho tosha kuwa TISS imechafuka inahitaji au kujisafisha au kusafishwa!.
Pamoja na Tanzania kuridhia mkakati wa Open Government Initiatives lakini kuna vitu huwezi kuvijadili openly lakini bado unaweza kuvichunguza na kuvifanyia kazi kimya kimya ila public ikaona matokeo na kurudisha imani.
Kuna watu wanadhani Usalama wa Taifa TISS wao ni malaika na hawawezi kabisa kufanya makosa kama madudu haya wanayotuhumiwa nayo sasa. No!, TISS ni kweli kwa vile iko chini ya Ikulu, na Ikulu ni mahali patakatifu, TISS pia inapaswa kuwa ni idara takatifu, lakini kwa vile TISS inaendeshwa na binadamu na sio malaika, TISS inaweza kufanya makosa na uchafu huo ukawa ni kweli ni TISS, ndio maana katika bandiko hili nasisitiza tuhuma hizi dhidi ya TISS kama sii kweli, TISS ikanushe, kama ni kweli, TISS imechafuka na inahitaji kusafishwa!. Hii sii mara ya kwanza kwa TISS kuchafuka, huko nyuma kuliwahi kutokea matukio ya TISS kuchafuka na Ilisafishwa!.
TISS Iliwahi Kuchafuka Vipi na Ilisafishwaje?.
Tiss huko nyuma iliwahi kufanya makosa ya utekaji, utesaji na hata uuaji, na ikafumuliwa!. Hivyo kwa vile tayari tunayo precedence ya vitendo viovu vya TISS kuwahi kufanyika huko nyuma, hivyo kwa kuutumia uthibitisho wa uovu huo, una justify kuwa kuna pia kuna wa vitendo hivi viovu ambavyo TISS inashutumiwa navyo, kuna uwezekano kabisa ikawa ni kweli ni TISS wetu ndio is behind huu uovu na uchafu huu unaozungumziwa sasa hadi Bungeni kwetu, ndio maana hadi Bunge linaelezwa halafu TISS wamekaa kimya wakishupaza shingo zao, kwa hoja kuwa "mnaweza kutufanya nini?", it's very true TISS ya nchi zote wakifanya uovu wowote kwa amri halali kutoka juu, no one can do anything!, hawawezi kufanywa lolote wala kuchunguzwa na yoyote, hapa duniani, but kuna mamlaka moja pekee kuu kuliko mamlaka zote, inayoweza kufanya kitu, kupitia kitu kinachoitwa Karma, hakuna atakajua kuwa mamlaka hiyo imefanya, bali matokeo ya karma ndio huonekana!.
Jee ni TISS Wetu Wanafanya Vitendo Hivi au Wanasingiziwa?.
Kuna uwezekano sio kila utekaji, utesaji, mashambulio na mauaji yanafanywa na TISS, inawezekana kabisa sio TISS as TISS bali matukio hayo ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu, hivyo vitendo viovu vya members wachache wa TISS, vikaichafua image nzima ya TISS yetu safi collectively under the collective responsibilities formula.
Pia inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kuwa ni TISS kumbe sio TISS bali ni just impostors wanao fanya matukio kwa kupose as TISS ili ionekane ni TISS, hivyo wanaochafua the good image ya TISS wetu waadilifu, this being the case, TISS iwakane wahuni hawa, ijitokeze kukanusha uhusika wake, na wahuni hawa watafutwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwa kuchafua good image ya TISS yetu takatifu!.
Whichever the case, TISS ijitokeze ama ijisafishe na iwakane wahuni hawa, ama isafishwe na kurudisha imani na TISS wetu kwa wananchi wa taifa letu.
Sikilizeni Tuhuma za TISS Bungeni Kwetu
Hebu kwanza msikilizeni Mhe. Husein Bashe
Kisha msikilize Mhe. Tundu Lissu anasema nini kuhusu utekaji na utesaji wa TISS, hao anaowatetea ndio wenye bahati who could live to tell, hivyo ndio waliosalimika, only God knows kwa wale wasio na bahati hatima yao ilikuwaje because they couldn't live to tell!.
Naweka baadhi ya michango hapa
thanks very much for this, its very objective naona kama umemaliza kila kitu!.
It's true kuna lots of details nime avoid kutokana na uzalendo, pia nimemtaja Mzee wangu tuu kwa sababu alihusika direct, lakini sikumtaja mama yangu ambaye she is still alive and retired (hawaritayi kabisa) wala sikusema kuwa hata mimi almanusura!. Anyway haya tuyaache.
Although mhusika mkuu hataisoma kutokana na lingua uliyotumia, wahusika wenyewe wamesoma, na wamesikia labda waendelee tuu kutia pamba masikioni kwa sababu kujadili jambo lolote kuhusu TISS was considered a taboo hivyo bandiko hili kwa TISS ni kama abomination!.
Thanks again.
Paskali
Bandiko hili la Mkuu Return Of Undertaker Lissu: Tuna vithibitisho na mashahidi wa utekaji toka serikalini, mawaziri mnaogopa nini? ni uthibitisho wa tuhuma hizi uliotolewa Bungeni
Mkuu the Return Of Undertaker, thanks for this. Nikichangia uzi huu wa Undertaker, ndipo nilipo eleza madudu ya ajabu ya TISS ya enzi hizo
1. TISS sio malaika, huko nyuma waliwahi kuteka, kutesa na kuua, Nyerere alikasirika hivyo wahusika walitumuliwa kazi, walishitakiwa na walifungwa.
2. Imeelezwa wale makirikiri wa Bashite ni Tiss, hakuna aliyekanusha!.
3. Imeelezwa yule mpuuzi aliyemtolea Nape Bastola ni TISS, hakuna aliyekanusha!.
4. Hivyo kwa kutumia precedence ya TISS huko nyuma kuna justify kuwa kuna uwezekano ikawa ni kweli TISS is behind huu uovu na uchafu unaozungumziwa Bungeni.
5. Pia inawezekana sio TISS as TISS bali ni acts za individual members wa TISS wakifanya a "stand alone operations" bila kupokea command yoyote kutoka juu.
6. Inawezekana kabisa vitendo hivi vinafanywa na wahuni fulani, ambao wana pose as TISS just to make believe kumbe ni just impostors kuchafua TISS wetu waadilifu, whichever the case, TISS ijitokeze iwakane na kurudisha imani na TISS wetu.
Kama haya yanazumzwa Bungeni then TISS ama ijitokeze kukanusha au ijisafishe kwa safisha safisha.

Mchambuzi, Mkuu MchambuziPascal Mayalla,
Mayalla,
You are avoiding details (seems like purposely) on how the organization became the fist of the ruling party (CCM), thus put
under direct party control. No other oversight existed over it. What existed at the centre "structurally" was the political police. Main Tasks included:
1. Suppression and oppression of all kinds of political opposition in the country. A young state had to focus on "Unity and order"...
2. Total control over the society.
No Parliament sitting adopted law/s to determine the activities of the security services, or at least the laws were vague. Basically, the activities of the organization were activities defined and guarded by Revolutionary Party (CCM).
I am in contrary to Zitto et al thinking on dissolving TISS. Dissolving the organization would be disastrous to the Nation because doing so would fulfil the objectives of organized criminals. Many of the would be former intelligence agents would be recruited by numerous mafia groups. They would extend an informal network, support each other, support their ex- bosses, and worse - if united they would be able to easily form even a private army. Let's not forget that we live in a society where informal institutions are stronger than formal ones. Its why we are categorised as a "problematic state", only one level up from being a "failed state". A problematic state is the one that lacks rule of law (instead under a big man rule), and dominated by informal institutions (absence of strong formal institutions).
What needs to be done instead?
-The parliament should adopt relevant laws to guide its activities.
-A parliamentary oversight should be established and it should involve experienced parliamentaries in security matters.
- TISS needs to be depolitized. There should be a ban on party associations for the staff; there should also be prohibition of any political related activity within the working
places of TISS).
- Centralized oversized security apparatus needs to be dismantled.
- There should be a reduction of the number of the staff down to the real needs of the national
security.
- TISS should be put under a more sophisticated controlling system i.e
Parliamentary, administrative and, judicial.
- There's a need of establishing"judicial control" over the use of secret means and methods which can penetrate or infringe the rights and privacy of the citizens.
- Goals and purposes of TISS need to be redirected and restructured
along new directions;
- Recruitment of new intelligence officers should only base onprofessional merits.
- There has to be transparency on its budget sources and also an independent control above them.
- TISS needs to join the intelligence-security community of the "democratic world".
- TISS needs to intensively participation in combating the global security challenges, especially international terrorism.
In the final analysis, CCM and the State should no longer be held in " synonymous ".
thanks very much for this, its very objective naona kama umemaliza kila kitu!.
It's true kuna lots of details nime avoid kutokana na uzalendo, pia nimemtaja Mzee wangu tuu kwa sababu alihusika direct, lakini sikumtaja mama yangu ambaye she is still alive and retired (hawaritayi kabisa) wala sikusema kuwa hata mimi almanusura!. Anyway haya tuyaache.
Although mhusika mkuu hataisoma kutokana na lingua uliyotumia, wahusika wenyewe wamesoma, na wamesikia labda waendelee tuu kutia pamba masikioni kwa sababu kujadili jambo lolote kuhusu TISS was considered a taboo hivyo bandiko hili kwa TISS ni kama abomination!.
Thanks again.
Paskali
Bandiko hili la Mkuu Return Of Undertaker Lissu: Tuna vithibitisho na mashahidi wa utekaji toka serikalini, mawaziri mnaogopa nini? ni uthibitisho wa tuhuma hizi uliotolewa Bungeni
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, alikusudia kutoa Shilingi katika Bajeti ya Waziri Mkuu, akiitaka Serikali na Waziri Mkuu kutoa kauli ya Kuzuia Kikosi Maalumu cha Utesaji, utekaji udhalilishaji na mauaji kinachoratibiwa na Idara ya Usalama wa Taifa, kwa kuwa kikundi kazi hicho kinavunja katiba na sheria za nchi.
Ushahidi wa Utekaji,udhalilishaji , Utesaji na mauaji yanayofanywa na kikundi hicho ulitolewa na Tundu Lissu ambapo alisisima bungeni kuelezea kuwa wapo watu 18 anaowatetea Mahakamani ambao wapo tayari kutoa ushahidi huo, dhidi ya kikundi hicho kinachotumia nyumba iliyopo Mikocheni na Oysterbay ambapo watu mbalimbali wamekuwa wakisafirishwa kutoka mikoani mpaka kwenye nyumba hizo kuteswa kinyama bila jamii kujua.
Mbali na ushahidi wa wazi wa Nape kutishiwa bastola hadharani, Bashe kutishiwa maisha na usalama wa Taifa kuwa yupo kwenye orodha ya wabunge 11 wanaotakiwa kufanyiwa mabaya, Godbless Lema na Lissu mwenyewe kukamatwa na polisi bila kibali cha ukamataji kuwekwa rumande na kunyimwa dhamana, Ben Saanane kupotea, Ney wa Mitego kukamatwa, Roma Mkatoliki kutekwa na kuteswa, Clouds Media Group kuvamiwa na mtu ambaye Watanzania wote wanamjua na nashangaa kwanini bado ni Kiongozi wa Serikali na serikali imekaa kimya? Je, kuna baraka za Ikulu?
Jambo hilo limepingwa sana na Mawaziri wa CCM, Jenister Mhagama na Angela Kairuki kwa kuwa wamesema hakuna habari zozote za namna hiyo, wakidai kuwa hakuna utekaji nyara hapa nchini kuwa ni maneno ya baadhi ya watu wa mitandaoni wanoataka kuichafua Serikali.
Walimuomba Waziri Mkuu asitoe kauli yoyote kwa kuwa jambo hilo ni uchochezi. Mawaziri hao wameona matukio yote hayo si kitu wala si chochote katika nchi kana kwamba walioteswa si watu wanaowahusu, wala hao hawastahili kulindwa utu wao na kana kwamba si Watanzania. Mawaziri hao wameitetea Serikali na kumwomba Spika kuwa Hoja hiyo isijadiliwe Bungeni.
Jambo hilo lilimpelekea Spika kutaka kura ipigwe na ndipo Wabunge walio wengi wakaomba kujadili kwa kina na serikali itoe kauli. Spika kwa mamlaka yake ameamua jambo hilo lisijadiliwe kabisa ndani Bunge.
My Take katika hili:
Kama Mawaziri na baadhi ya wabunge wa CCM wasiotaka jambo hilo lijadiliwe Bungeni kwa mustakabali wa amani ya Taifa letu, wanadhani kuwa wanaweza kumzuia Mungu asilete wokovu wa Taifa hili kwa njia ya Bunge basi wajue kuwa Mungu ataleta wokovu wa Taifa hili kwa njia nyingine.
Mkuu the Return Of Undertaker, thanks for this. Nikichangia uzi huu wa Undertaker, ndipo nilipo eleza madudu ya ajabu ya TISS ya enzi hizo
Kuna huyu mchangiaji ametoa hoja ya msingi sanaKama tuhuma hii ni kweli, then serikali yetu ni serikali dhalimu! .
Hii sio mara ya kwanza kusikia serikali inafanya torture!.
Mwaka 1976 kule Mwanza kwenye eneo la Kigoto, watuhumiwa wa mauaji ya vikongwe walikuwa tortured to death na maofisa wa polisi!.
Mzee wangu, Andrew Mayalla (RIP) akiwa RSO wa Mwanza, akawanusuru watuhumiwa wawili, Masanja Makhula Mazengenuka na Isaak Mwanamkoboko kutoka eneo la Kigoto baada ya mateso makubwa, wakiwa njiani wakamweza hawajala chochote kwa muda wa siku 3 za mateso ya usiku na mchana!.
Akaamua kuwapeleka Bugando, on their way akasimama mahali kuwanunulia soda na kitafunio, soda waliweza kunywa, kutafuna walishindwa!.
Bugando akawakabidhi kwa Dr. Nkulila. The next day they were both died!, hivyo mtuhumiwa mkuu wa kuhusika na vifo hivyo, ni aliyewapeleka hositali na sio wale waliowatenda!.
Hizo ni enzi za Nyerere, tulikuwa tukiishi Isamilo ya chini, next door ni RPC alikuwa akiitwa Mkwawa, nyumba ya tatu ni DSO na nyumba ya nne ni RMO, Mzanzibari mmoja akiitwa Dr. Dahoma!.
Baada ya Taarifa kumfikia Nyerere, kuanzia Makamo wa Pili wa Rais na Waziri Mkuu, Rashid Mfaume Kawawa aliondolewa na kushushwa cheo!. Waziri wa Mambo ya Ndani, Ali Hassan Mwinyi alipoteza uwaziri kwa kujiuzulu!. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Ikulu, anyeshughulikia TISS, Peter Siyovelwa, alijiuzulu!. Watendaji wakuu wakiongozwa na IGP wa wakati huo Samweli Pundugu alipoteza kazi, kwa kustaafishwa kwa manufaa ya umma!. Mkurugenzi wa TISS, Emelio Mzena, alipoteza kazi, kwa kustaafishwa kwa manufaa ya umma!. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Peter Kisumo, alipoteza kazi, DC wa Mwanza pia alimwaga unga!
Ikaja kwa Mzee, RSO, RPC, DSO na OCD wa Mwanza wote walistaafishwa kwa manufaa ya umma, tulihamishwa usiku usiku na kurudishwa kijijini (detention fulani za Nyerere).
Wakati yote haya yakifanyika, mimi nilikuwa mdogo sana sikujua ni nini kinaendelea ili kilichofuatia ni mpaka ilipoanza kuunguruma, Kesi ya Mauaji Mwanza, na kulisoma jina la Dingi Gazetini, ndipo nikafunguka macho nini kilitokea, na thanks God, mtu pekee aliyenasuka ni Dingi, Andrew Mayalla, kufuatia kazi kubwa na mzuri iliyofanywa na Wakili Murtaza Lakha, na sijui kama Tanzania, tuna mawakili wa kiwango chake!.
Hivyo kama tuhuma hizi ni kweli, hii sio mara ya kwanza TISS Kutuhumiwa. Ya Ulimboka tuliyasoma Mwanahalisi, ya Kibanda nilishikwa sikio.
Yaliyotokea Clouds TV wote tumeyashuhudia kupitia CCTV, ya Nape Mnauye tumeyashuhudia live mubashara kwenye TV!.
Ili kuonyesha serikali yetu haihusiki na matukio haya, rais Magufuli akasirike kama Nyerere alivyo kasirika, hatua zichukuliwe!.
Paskali
Mkuu Grand Puba, nilichosema niKuleta uzi mrefu kama huu uliojaa historia na kuwatuhumu hao TISS, bila ya kuonyesha ushahidi na uthibitisho wa kuhusika kwao ni kujenga fitna na majungu tu. Unapotuhumu unapaswa kuthibitisha tuhuma zako. Thibitisha ndio watu wajadili. Vinginevyo huu ni upuuzi tu kama ulivyo upuuzi mwingine.