Imenishangaza - ina maana.......

Imenishangaza - ina maana.......

Yaani tangu June 15, 2010 mpaka leo bado kuna watu hajaelewa Tausi anataka ufafanuzi gani?? Sasa naanza kuelewa kwanini ni rahisi kwa nchi yetu kuingizwa mkenge na mikataba feki.

Ila Mzee Mwanakijiji kama kweli yeye ni mzee basi ana akili za ajabu sana. Maana ameweza kuelewa kitu ambacho vijana wengi wa juzi wameshindwa kuelewa.

Ngoja niwape mfano labda mtaelewa. Muangalieni huyu jamaa chini status yake ilivyo mpaka leo Feb 23, 2011 - 11:16AM EAT

fangfangjt


Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 25th April 2008
Posts : 78
Thanks: 6
Thanked 168
Times in 5 Posts
Rep Power : 23


Ukimpigia hesabu huyu jamaa utakuta yupo zaidi ya 200% ukipigia hesabu number of posts vs thanked post. Yaani ana average ya kugongewa thanks zaidi ya 2 kila baada ya post 1.

Tausi mimi nadhani ni hivi:-
Nimegundua kwamba frequent posters mara nyingi wako hivi
1) Wanapost sana vitu ambavyo ni maongezi tu ambavyo si muhimu kupewa THANX
2) Amepost kitu ambacho ni very useful na kimechangiwa sana lakin no thanx
3) Amepost kitu chochote kile chenye maana yoyote ile lakin hakina thanx

Sababu hizi ndio usababisha percentage ya post vs thanked post kushuka. Huyo jamaa yeye inaonyesha wazi sio frequent poster na hata akipost basi anaweka kitu ambacho kila mdau ataona kinastahili thanx, so percentage yake (post vs Thanked post) inakuwa kubwa, lakin tu iwe bila kuangalia kiukweli hizo thanks zake zipo ktk post gani hasa. Maana kiukweli ni kwamba alivuna thanks 155 ktk post 1 tu hii chini

Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

Started by fangfangjt‎, 16th February 2011 08:51 PM
 
Nadhani idadi ya "thanks" hai-determine km bandiko lina "pumba" au la kwani mtu anabonyeza au kuacha kubonyeza "thanks" kunatokana na mtazamo wake khs bandiko husika. One man's pumba is another man's mchele.
 
Kwa ninavyoelewa mimi, thanks watu humu kwa kiasi kikubwa hupeana. Hizi thanks kwa kiasi kikubwa zinatokana na majukwaa mawili; la siasa na la mahusiano. Kwenye siasa sina shaka sana maana kule ni hoja zaidi. Huku kwingine ndio kuna vituko zaidi maana ni kama vile kuna kambi mbalimbali ambazo hubebana. Mtu ataweka topic au post ya kawaida sana ila utashangaa hayo ma thanks yalivyomwagwa.

Thanks ni motisha kwa kweli. Pale mtu anapoandika kitu cha maana apewe haki yake objectively! and not subjectively!
 
Yaani tangu June 15, 2010 mpaka leo bado kuna watu hajaelewa Tausi anataka ufafanuzi gani?? Sasa naanza kuelewa kwanini ni rahisi kwa nchi yetu kuingizwa mkenge na mikataba feki.

Ila Mzee Mwanakijiji kama kweli yeye ni mzee basi ana akili za ajabu sana. Maana ameweza kuelewa kitu ambacho vijana wengi wa juzi wameshindwa kuelewa.

Ngoja niwape mfano labda mtaelewa. Muangalieni huyu jamaa chini status yake ilivyo mpaka leo Feb 23, 2011 - 11:16AM EAT




Ukimpigia hesabu huyu jamaa utakuta yupo zaidi ya 200% ukipigia hesabu number of posts vs thanked post. Yaani ana average ya kugongewa thanks zaidi ya 2 kila baada ya post 1.

Tausi mimi nadhani ni hivi:-
Nimegundua kwamba frequent posters mara nyingi wako hivi
1) Wanapost sana vitu ambavyo ni maongezi tu ambavyo si muhimu kupewa THANX
2) Amepost kitu ambacho ni very useful na kimechangiwa sana lakin no thanx
3) Amepost kitu chochote kile chenye maana yoyote ile lakin hakina thanx

Sababu hizi ndio usababisha percentage ya post vs thanked post kushuka. Huyo jamaa yeye inaonyesha wazi sio frequent poster na hata akipost basi anaweka kitu ambacho kila mdau ataona kinastahili thanx, so percentage yake (post vs Thanked post) inakuwa kubwa, lakin tu iwe bila kuangalia kiukweli hizo thanks zake zipo ktk post gani hasa. Maana kiukweli ni kwamba alivuna thanks 155 ktk post 1 tu hii chini

Pamoja na kukugongea Thanks..bado nataka nikupe tena ASANTE kwa lugha ya TAIFA!
 
Back
Top Bottom