You are “Working Hard” on Wrong Things ndiyo maana Hutoboi

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Greetings.

Leo tunakutana tena jioni hii kwa kwaajili ya darasa muhimu kabisa ambalo naamini litakusaidia kuona mambo unayokosea katika Hustle zako na namna gani unaweza kubadilika.

Kwa kuanza naomba nikuulize…

Utafanya nini kama hustle zako zinakiletea zaidi disappointment and failure?

Najua watu wana struggle kila wanalojaribu kugusa ni stress juu ya stress.

Ni kama vile kuna mtu anakuchunguza ukitaka kufaulu kwenye hustle uliyoisotea for weeks or months haikamiliki.

Unakabiliana vipi Na jambo hili?

Watu wengi watasema bora kuacha na kujaribu hustle nyingine.

Lakini kabla hujaamua ku-give up jaribu kuangalia mambo 5 nayoamini yatakuonyesha “vitu vidogo” tu kwakufanyia mabadiliko and you are good.

Unajua sometimes hustle unazofanya iwe Business au kazi yoyote inayokuletea pesa zinashindwa kufaulu si kwasababu haiwezekani, bali sababu ni kukosa perspective.

Zingatia haya ili Hustle zako zifanikiwe sikuzote.

1 • Acha kuamini unafahamu kila kitu. Zipo njia tofauti na rahisi usizofahamu zakukufikisha kwenye mafanikio unayoyataka.

Ok nianze na hili.

Biashara nyingi zinashindwa kuendelea kwasababu ya uhaba wa “perspective”

Wamiliki wa hizi Business wao ni wagumu kufungua vichwa vyao kuruhusu fresh ideas zitakazowasaidia kufikia mafanikio wanayoyataka tena kwa muda mfupi na kwa ufanisi. Lakini kwasababu ya closed mindset walizonazo wanakuwa watumwa wa business zao miaka nenda rudi.

That’s crazy.

Biashara maana yake ni uhuru.

I know this guy who run a 5 year transportation business with little to no profit.

Huyu jamaa yeye alikuwa anaamini anachojua yeye hakuna mwingine anayejua.

He was wrong.

Ego ilikuwa inammaliza yeye na biashara yake.

Hii biashara ilishafikia kwenye kufilisika.

At least alikubali kuchukua ushauri wakuiuza baada ya miaka 5 ya hasara.

But this man would have saved time and money if he listened to fresh ideas. From People with experience and bigger perspective about business.

Ushauri wangu hapa ni huu.

Ukiona Hustle zako zinakwama usijidanganye you know everything yourself tafuta mentor akuongoze.

Someone who is doing the same business/Hustle.

You will thank me later about this.

2 • Don’t Share your next Move with Negative People. Because no matter how hard you work you won’t make it. It is Spiritual.

Unajua nini?

Negative vibes ni mbaya sana kwenye Business.

Kwasababu kama uki-share next move na mtu asiyekutakia mema maana yake atanyonya positive energy uniyonayo.

Na baada ya muda utagundua hukustahili kushare next move yako na bad mind.

Je hii imeshawahi kukutokea?

Kamwe usishare next move na random people.

Watu wengi wangependa waone unakwama kwenye Hustle zako. And that is so sad.

Kuwa mindful na hii mambo na utaona Hustle zako zinafanikiwa.

Acha waone mafanikio kwasababu mafanikio hayajifichi.

3 • Hustle zitakazokuletea Pesa ni Zile tu Zinazoongeza Value kwa watu. Customers will pay for Value you are able to provide. Not your words or how much hard work you do.

Hii ipo wazi.

Lakini for some reason watu wengi wana ignore.

Mara ngapi emeona watu wana jaribu kuuza bidhaa au huduma watu wazizohitaji?

Wafanyabiashara wa namna hii mara zote wanaweka mbele Emotions kwenye aina ya vitu au huduma wanataka kuuza.

Wanasahau kanuni rahisi.

Business is not about you. It is about your customers.

Uza kile tu watu wanataka kununua.

Inashangaza mtu anakurupuka anakwambia anataka kuanzisha business.

Ukimiuliza je unao wateja?

Anasema watu watanunua tu?

Sasa ukitaka kuona maajabu ya Business Hebu fungua utashangaa miezi inaisha haupati mteja hata mmoja.

Hii ni real.

Ushauri wangu hapa ni huu.

Tatufa wateja wachache wa mwanzo kabla hujaanza biashara. Na ufahamu wapo tayari kununua bidhaa au huduma punde utapoanz kuuza.

Ukifanikiwa hapa you are a real entrepreneur.

Biashara yako itaenda vizuri kwasababu inaongeza value ndiyo maana watu wapo tayari kutoa pesa.

Don’t guess kwamba watu watanunua tu.

4 • Tumia Internet na Mitandao ya Kijamii Vizuri. They are Gold Mine. Usiwe negative

Kwanza niseme tu.

Binafsi nashukuru kuzaliwa kipindi hiki cha maendeleo wakubwa ya internet na teknolojia.

Teknolojia inatoa nafasi kubwa sana kuongeza ufanisi kwenye Hustle zangu na kufanya zifanikiwe kwa urahisi.

And I’m not alone.

Million of young people across Africa take advantage of internet and do great things for their lives and family as well.

Hawa wengi ni fast learners.

Hawana mawazo mgando kuhusu Social Media na jinsi unavyoweza kutumia Online platforms hizi kutengeneza some serious money .

Lakini kwa upande mwingine wapo wenye poor man mentality wao wanadhani Business Yoyote inayoendeshwa mtandaoni si legit.

My friend if you have this mindset you are missing out big opportunity to make money.

I’m telling ya’

Ukiona Hustle zako za offline zinakwama hamia Online.

Take time to learn things in their details.

Ukifanya hivi utabadili life yako for good.

Why not try?

5 • You have wrong idea of what success is. Badili mtazamo wako and you are good.

Ok ngoja ni-share piece of wisdom.

Hivi unajua kuna kitu cha tofauti katika kutoa au kusaidia wengine zaidi ya kupokea tu?

Successful people are the givers not takers.

Kamwe usiwazie kwasababu Hustle zako unatumia muda kwahiyo lazima you get paid kwa kila unachofanya.

If you have this mindset hasahasa wakati unaanza let say Business yako you won’t be able to land paying customers.

Lazima uwe mtoaji tena na tena na tena kabla hujaanza kupokea.

Hii ni Siri.

Watu wengi hawafahamu.

Binafsi nimeanzisha Hustle zangu nyingi na baadaye kuwa real Business kwasababu nilianza kwakutoa. Na bado naendelea kutoa. Kama ninavyofanya hapa i take my time prepare a post and share with everyone who find value reading this.

Mwanzoni nilikuwa na perspective fupi nini maana ya kufanikiwa kwenye hii life.

Nilidhani lazima nichukue kila kitu toka kwa wengine ili mimi niwe navyo vingi. In this exampe is money.

But guess what?

Hakuna nilichopata.

Hakuna aliyekuwa interested.

Nikaamua niwe giver. And now I’m good.

Hustle zinaji-set zenyewe with no hard work.

Ni kama vile universe is paying me back.

Do you get my point?

I hope you do.

Niishie hapa leo.

Tukutane next time.
 
Back
Top Bottom