Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hii thread imekaa kipuuzi, kikerokero, na inaboa mbaya kabisa...I hate the thread! Uswahili huu wanini jamvini jamani?
Yaani nilipoona tu i feel like puking...
Aaaarhg!
 
hapa patamu Zitto huyu huyu kwenye facebook yake aliweka link ya mahojiano na VOA kwamba ahami na leo ameweka habari yenye ushabukuku na mipasho sasa sijui inailenga Chadema au CCM lakini sidhani kama ni CCM kwa jinsi ule ujumbe ulivyokaa nathani ni Chadema! Mungu atamlaani huyu kijana kama sababu ni madaraka tu na ikiwa aliyataka huku akijua fika anaenda kusoma Ujerumani nashindwa kuelewa angetumikia vipi na hata kama alishindwa kuyapata ni kutokana na uzababina wake hawezi kutaka kugombea uenyekiti wakati ametoka jana yake kukingia kifua ufisadi wa Dowans na baada ya kukanywa na viongozi wake anakuja juu hataki kushirikiana nao hawasiliani nao wakati yeye ni kiongozi! then ghafla bin vu anachukua fomu ati anagombea uenyekiti! Hamadi lazma watu washtuke ghafla kulikoni? agenda ni nini?

Wewe Zitto ungekuwa mzalendo wa kweli wa nchi hii na mwenye mapendo ya dhati na Chadema usingeghathirika namna hii ukiangalia ni kijana mdogo wa miaka 33 una miaka mingi tu mbeleni kuwa Mwenyekiti! Kwa akili zako fupi namna hii unazoonyesha sasa unathihirisha ya kuwa hukupaswa kupata huo Uenyekiti haswa kipindi hiki chenye kila aina ya mafisi wakitaka kukimong'onyoa chama! Kaka ufike salama uendako!
 
Mimi nafikiria kuwa Zitto ameambiwa mengi sana juu ya mambo yote na pia anapaswa kuchagua yeye mwenyewe
 
Nyinyi bana tatizo lenu ni ma-slow learner..Hivi hamjui siasa Tz ni ajira ? Yaani ndo mnagundua leo?
 
Musichoke kusikia hadithi nzuri na mbaya za Zitto. Someni, hilo ndo vazi la akili.

Huyu aitwaye kijana Zitto anahitaji kufikiria na kusoma historia za Dunia hii. Wengi ktk Dunia hii hatuwezi kuhimili sifa tunazopewa. Ziwe za ukweli au uwongo mara nyingi mtu akisha andikwa ktk magazeti hudhani kwamba hakuna mwingine na ndo mwisho wa ku-reason.

Ingawa mara nyingi sifa hizo wakati mwingine hutokana na tukio moja tuu! Zaidi ya Zitto kufukuzwa Bungeni, lipi jingine alofanya? Dowans?

Hayo ndo yaliyompata pia Napoleon Bonaparte.
 
Zito anatuchanganya sana haeleweki yaani mimi mwenyewe najiuliza kwanini sasa hv yupo kimya sana hata vita ile yooooote ya mafisadi ameiacha kabisa yaani hasikiki nadhani hapa kuna mkono wa kifisadi
 
Zito anatuchanganya sana haeleweki yaani mimi mwenyewe najiuliza kwanini sasa hv yupo kimya sana hata vita ile yooooote ya mafisadi ameiacha kabisa yaani hasikiki nadhani hapa kuna mkono wa kifisadi

NAANZA KUAMINI SASA ZITTO SIO MTANZANIA BALI NI MCONGOMAN kwani hao jamaa ni rahisi sana kubadilika kwa ajili ya pesa..ila kwa sasa itakuwa imekula kwake.Stay tuned.
 
mmmmmhhhhh. Mauza uza!!!

nakuhakikishia huyu mtu akichunguzwa sana lazima one of his great-grand dad/mum atakuwa mcongoman, wabongo original hatuna hizi tabia za ukigeu geu just soon after watu kukuaminia hivyo. Mfano e.sokoine-rip,h.kolimba-rip.
watch this space
 
Zito anatuchanganya sana haeleweki yaani mimi mwenyewe najiuliza kwanini sasa hv yupo kimya sana hata vita ile yooooote ya mafisadi ameiacha kabisa yaani hasikiki nadhani hapa kuna mkono wa kifisadi

Unataka aseme mafisadi wam-expose, angalia Mtikila sasa yuko wapi na upiganaji wake uliishia wapi?? Mafisadi wameshika utamu oops hatamu!!!
 
Sasa nyie mnataka ajibu vipi wakati ameahidiwa Uwaziri ndani ya Sisiemu na Mungu aliye magogoni.
 
nakuhakikishia huyu mtu akichunguzwa sana lazima one of his great-grand dad/mum atakuwa mcongoman, wabongo original hatuna hizi tabia za ukigeu geu just soon after watu kukuaminia hivyo. Mfano e.sokoine-rip,h.kolimba-rip.
watch this space

Kwa hiyo CCM tuliwaamini wametutosa wote ni Waconngo!!!

Mkapa tulimuamini akatufisadi, kumbe naye ni mcongo??

Kikwete tulimuamini ametutosa kumbe naye ni mcongo???

List goes on..........!!!!

Watanzania ndvyo tulivyo, period!!!!!!!!
 
Zito anatuchanganya sana haeleweki yaani mimi mwenyewe najiuliza kwanini sasa hv yupo kimya sana hata vita ile yooooote ya mafisadi ameiacha kabisa yaani hasikiki nadhani hapa kuna mkono wa kifisadi
Sometimes silence means uncalculated wisdom.
 
Kwa hiyo CCM tuliwaamini wametutosa wote ni Waconngo!!!

Mkapa tulimuamini akatufisadi, kumbe naye ni mcongo??

Kikwete tulimuamini ametutosa kumbe naye ni mcongo???

List goes on..........!!!!

Watanzania ndvyo tulivyo, period!!!!!!!!
Hakuna mtu mwenye akili timamu aliyewaamini CCM,
kama wewe uliwaamini ni weye peke yako naomba usituingize na sisi ambao toka day one hatujawaamini watu hao.
 
Kiasi nadhani sasa tumpe Zitto nafasi . Kuna mtu hapa ana chuki binafsi na Zitto . Kila nikisoma ma badindiko yake ni maneno mazito dhidi ya Zitto. Zitto kesha ambiwa hapa JF , Zitto kesha ambiwa na ndugu zake , Zitto anaijua Tanzania na anajua jinsi anavyo heshimiwa kwa kuwa anaongea yale yanayo wakera Watazania . Zitto anajua hajawa maarufu kwa kuwa yuko Chadema pekee bali kwa kupitia jukwaa la Chadema amesimamia haki na ana heshimika mno . Ulinzi wa Zitto uko kwa Mungu na kila Mtanzania mzalendo haya yote anayajua . Tupunguze kumshambulia kijana huyu . Tutafute muda wa kuongea naye aseme mawazo yake na tumshauri badaka ya kumshambulia .Kumzulia maneno kunafanya awaze mbaya na mbali . Kusema maneno kila siku inaonekana ni Chadema wanampinga Zitto kupitia JF na kumfanya ajione kama hatakiwi Chadema . Tuacheni hii tabia and give this young a break . Zitto hajasema anahama Chadema , hajatamka hata mara moja . Zitto anajua kusaliti umma kuna gharama zake mbele za watu kwenye jukwaa la Siasa na hata mitaani . Tunamzulia mengi na tuache kuichanganya Chadema kwa kuchochea ujinga hapa jukwaani .Tuwape nafasi wamalize matatizoi yao na waendelee na kazi ya Ukombozi . Chadema si malaika maana hata katika Biblia tunaona malaika walipata makundi mara akina Lucifer wakawepo . Tunajua hadithi ya Mnara wa babeli na Lugha za Dunia . Chadema ni watu wanajua kwamba matumaini ya Watanzania yako nyuma yao kama watu na Chama . Please mwacheni Zitto sasa .Amesha sikia ataamua mwenyewe .
 
hapa patamu Zitto huyu huyu kwenye facebook yake aliweka link ya mahojiano na VOA kwamba ahami na leo ameweka habari yenye ushabukuku na mipasho sasa sijui inailenga Chadema au CCM lakini sidhani kama ni CCM kwa jinsi ule ujumbe ulivyokaa nathani ni Chadema! Mungu atamlaani huyu kijana kama sababu ni madaraka tu na ikiwa aliyataka huku akijua fika anaenda kusoma Ujerumani nashindwa kuelewa angetumikia vipi na hata kama alishindwa kuyapata ni kutokana na uzababina wake hawezi kutaka kugombea uenyekiti wakati ametoka jana yake kukingia kifua ufisadi wa Dowans na baada ya kukanywa na viongozi wake anakuja juu hataki kushirikiana nao hawasiliani nao wakati yeye ni kiongozi! then ghafla bin vu anachukua fomu ati anagombea uenyekiti! Hamadi lazma watu washtuke ghafla kulikoni? agenda ni nini?

Wewe Zitto ungekuwa mzalendo wa kweli wa nchi hii na mwenye mapendo ya dhati na Chadema usingeghathirika namna hii ukiangalia ni kijana mdogo wa miaka 33 una miaka mingi tu mbeleni kuwa Mwenyekiti! Kwa akili zako fupi namna hii unazoonyesha sasa unathihirisha ya kuwa hukupaswa kupata huo Uenyekiti haswa kipindi hiki chenye kila aina ya mafisi wakitaka kukimong'onyoa chama! Kaka ufike salama uendako!
hakuna ishu ingine jamani??? Gezaulole vipi???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom