Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Na mie uvivu wangu umetoka wapi?
Mtoa post amewakilisha kilichoandikwa kwenye gazeti...not his idea..Sasa kwa vile ni Zitto mnataka isijadiliwe...mbona JK katoka kwenye gazeti anabembea tayari watu wana comment heavily...kwani JK hajajadiliwa huko nyuma?mbona hamsemi agenda zake zisitishwe?....lets be a little bit democratic...kama issue ya Zitto ilijadiliwa kabla si umredirect mtoa thread easily na sio kukashifu watu..pengine ilipojadiliwa alikuwa sio member wa JF....
Tuache jazba na utemi humu....nasi twaweza pia
tafuta forum yako bana hii ilishazungumzwa, we vipi?
Kafulila nini wewe?