Mkulima mimi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2009
- 233
- 32
Ninyi wana jf mnachanganya sana! Kikubwa nilichogundua toka kwenu wengi hamchambui hoja bali mnajitahidi kuangalia anayesema ANA MLENGO upi ukiwa wa kushoto mna mpinga hata kama ana hoja ya msingi, ambayo inatakiwa kujadiliwa bila kujali aliyesema ni nani na ni wa mrengo gani? Hivi kweli leo tunamlaumu zito namna hivyo kana kwamba anapoingia kwenye siasa tulimshauri. Watu wanaenda mbali eti kahongwa na nani ccm? Baada ya kukataliwa kugombea uenyekiti sababu ya umri! Basi kama kweli yeye ni mdogo kiumri wajumbe wote siwanajua hilo au umri wa zito ilikuwa siri? wangemuacha wajumbe waamue zito asingekuwa na kinyongo nao.kujaribu kujitafuta sababu za maamuzi ya mtu binafsi ni kujibana kufikiri kama alivyo amua kugombea ubunge pia anaweza kuamua kuacha kulingana na utashi wake asilaumiwe
ALIYEPOST HII THREAD NAFIKIRI HATOFAUTIANI AU AMETAFUTA REFFERENCE NA KUMODIFY ILE THREAD YA SHY "KWA NINI SIMUAMINI ZITTO KABWE" Ambayo inadaiwa alidesa kwa gazeti la Rai ilipingwa sana lakini ajabu leo sababu mtu mwingine kwa staili tofauti kitu kile kile watu mnasapoti
ila HUMPINGWI NI MAWAZO NA NI MTIZAMO WENU.