- Ukitaka kuharibu Demokrasia ndani ya chama cha siasa basi kazania kuita mapungufu ya uongozi wa chama cha hicho siasa kuwa ni siri za chama, wakati wewe huyo huyo hulali kutoboa mapungufu ya vyama vingine vya siasa,
- Chadema mjifunze maana ya damage control, na kama chama unaaanza kwa kutoa siri mwenyewe lakini in a very smart political way kwamba unakuwa kama hutoi, lakini kumbe unatoa ili ku-dilute nguvu ya mapungufu ya chama ambayo unakuwa umesha conclude with facts at hand through your intelligence means kwamba huna jinsi ni lazima hayo mapungufu ambayo sometimes we call it "siri za chama" yataishia kutoka to the public anyways kama ilivyo situation yenu sasa, it is only a matter of time yote yatakuwa nje!
- Chadema mnalichezea sana suala la huyu kijana Zitto, mnatakiwa kukaa chini na kupitia all the facts za what Zitto knows, and did katika muda wote aliokuwa na nyinyi kama chama cha siasa, kama anajua mengi machafu kuhusu chama then you make a deal na yeye Zitto, giving him what he wants kama anajua mengi na giving him nothing kama hajui mengi na ikibidi boot him out! Lakini kama anajua mengi sana kama dalili zinavyoonyesha so far, basi mnachezea moto ambao very soon utawaunguza vibaya sana,
- Kaeni chini na Zitto mmalize tofauti zenu, ama sivyo you will soon come to the realizations tena in hard way kwamba Zitto is an-important link ya kukua kwenu kisasa au kuporomoka chini, wangu ni ushauri wa bure tu! maana ninawasomeni sana mnavyojaribu kuliweka hili tatizo la Zitto under the rug lakini mnakwama sana na this ishu is not going anywhere soon!
- By the way, Komu ni nani huko Chadema? Can somebody answer me please!
Respect.
FMEs!