Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Imagine ZITTO anahama CHADEMA

Status
Not open for further replies.
hata Mwafrika,Solomon David na Mwanakijiji wako huru sana.

Punguza muda madrassa kijana kwani sasa unachanganyikiwa. Wapalestina hawatakaa waifute israel kwenye ramani ya dunia (wote machoko) na wala hamtafanikiwa kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam
 
Keil umetoa point nzuri sana, mgombea wa NCCR 2005 alipata kura zaidi ya 40% endapo chadema wangekuwa wamemuunga mkono ndo angekuwa Mbunge. Aliyeshinda (CCM) alipata chini ya 50%. Kwa takwimu hizi huyo jamaa wa NCCR anakubalika sana jimboni pengine kuliko hata Kufulila, kwani Kufulila amepima vipi kwamba anakubalika?

Wacheni kuongea habari za kufikirika. Mgombea wa NCCR alipata kura 25% na mgomea wa CHADEMA alipata 23%. Mgombea wa NCCR Gulamhussein Kifu amerudi CCM. Mgombea wa CHADEMA Muslim Hassanali ndio ameipatia CHADEMA ushindi mnono kwenye uchaguzi wa serikali za vijiji. Hamna jamaa yeyote wa NCCR anayekubalika hili jimbo ni la CHADEMA tu. Kafulia kaingia choo cha kike

.
 
punguza muda madrassa kijana kwani sasa unachanganyikiwa. Wapalestina hawatakaa waifute israel kwenye ramani ya dunia (wote machoko) na wala hamtafanikiwa kuigeuza tanzania kuwa nchi ya kiislam
kama ambavyo mengi,slaa na pengo wakitumia wewe hamtaweza kuzuia mahakama ya kadhi.
 
It is unfortunate some people are misguided to worship this sub-average person called Zitto Kabwe and the other two selfish guys who defected to NCCR. Let it be remembered that Institutions are designed to live longer than their founders. However creative and intelligent you are, it doesn't matter if you are talents are not institutionalized in an institutions. So Zitto without chadema, he is perfectly nothing. If Comrade Dr. Slaa was opportunistic like the defectors Kafulila et al he would have been bought by CCM long ago and probably benefited from the EPA funds. I salute you Dr, Slaa, Comrade Mbowe, Charles Mwera, brother Tundu, Mnyika and the entire CHADEMA members. Let us put put CHADEMA'S interest above our personal interest. A strong party with clear code of ethics, committed individual will finally bring long awaited change we want to see in Tanzania.
 
Mwandishi wa makala hii ni mchagga aliyeajiriwa kwa kigezo cha ukabila akiwa yeye na TEMBA.

AJIRA ZAO ZILILALAMIKIWA SANA NA WAFANYAKAZI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA AMBAO SIO WACHAGGA WENGINE WANA MIAKA MINNE WAKIWA VIBARUA TU.

PILI MWANDISHI UCHWARA HUYU ANAANDIKA KAMA MSEMAJI WA CHADEMA NA SI MWAJIRIWA WA MBOWE.

ANATOLEA MAELEZO UTIAJIA SAINI HUNDI WA MBOWE WAKATI MTU WA KUTOA JIBU HILO NI SLAA KWANI MBOWE HAWEZI KUSEMA UKWELI.

WEWE KINABO KIJANA WA KICHAGGA UNATETEA CHAKULA CHAKO HUNA KITU.

MCHAGGA KINABO NI MUONGO NA MZANDIKI LWAKATARE AMEHAMA KWA KUIKIASHIFU CUF KIASI CHA KUTUMA CONFIDENTIALS DOCUMENTS ZA CUF HUMU JF,NA AKASEMA ANATUNGA KITABU KUWASHTUMU CUF.

AIDHA UNAPOSEMA KUWA ZITTO AJIBU HARAKA KABLA HUJATOA MAKALA NYINGINE KWANI WEWE NI NANI?YAANI ZITTO AWAJIBIKE KWAKO WEWE KIBARUA WA MBOWE? BOSI WAKO MWENYEWE HAMUWEZI ZITTO UTAWEZA WEWE RIPOTA?

MWANDISHI AMBAYE MAANDIKO YAKO YAMEJAA MAKOSA KILA NUKTA.

KAFULILAH NA DUNDU WALIKUWA VIONGOZI WA CHADEMA ,WEWE NI KIBARUA TU LAZIMA SISI TUWAAMINI HAO KULIKO WEWE NDUGU WA MBOWE.

MWISHO WAMESHINDWA NA WAMELEGEA WENZAO KAANZA MHARIRI WAKO MTENDAJI KIBANDA,KAJA NGURUMO,AKAJA MCHAGGA MWINGINE,AKAJA KWAYU WA IPP NA SASA UMEKUJA WEWE, NYOTE KUMMALIZA ZITTO KABWE HAMUWEZI.ZITTO NI ZAIDI YA TAASISI.

kwa mawazo yako ndo maana unasema Zitto ni zaidi ya taasisi.sasa mshauri ahame hiyo CHADEMA then tuone kama utamuona zaidi ya taasisi..to me personally he is just like a growing baby..na ndo maana analewa umaarufu na kukimbilia kutaka mambo makubwa asiyoyaweza...kwangu mimi simuelewi na ndio maana alikurupuka kusema hagombei ubunge tena maana anajua kinachokuja mbele yake..2010 inakaribia ..wait and you will see
 
Zito ni mwanasiasa na pia ni philosopher,itakuchukua muda mrefu sana kumuelewa hasa kama uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,Nakushauri mtoa hoja ukaacha kumjadili Zitto badala yake tujadili matatizo yetu ya msingi yanayotukabili Watanzania.

kwa hiyo kuwa mwanasiasa na mwanafalsafa ndo chanzo cha kutokueleweka? hakuna mwanafalsafa asiyeeleweka acha unyonge wa kifikra
 
kuna mtu humu kasema Zitto mwanafalsafa??? mweee falsafa ipi aliyonayo Zitto?hivi tuko serious na hivi vitu u tunabonyeza bonyeza tu keyboard hapa..Mwanafalsafa???? God forbid
 
Mkuu kigogo naonatumepishana kidogo katika ujumbe wangu, Zitto si zaidi ya tasisis na bila chadema yeye ni mtu wa kawaida tu! Kimsingi naona hawa ndugu waliojiunga na NCCR bora wametoka ili chadema iweze kofocus on longterm goals. Ilimradi chama kikiwa na maadili, wanachema patriotic and legitimacy, ipo siku moja tuu kitachukua madaraka. Kina George Washgton walijitoa sana kulijenga taifa la marekani. They were never driven by individually motivated intersts. Nyerere was never driven by individual interests. Historian inaonesha watu wanaoendeshwa na maslahi binafsi hufa kifo cha mende.
 
na Irene Mark

DAVID Kafulila, mwanachama mpya wa NCCR-Mageuzi, ambaye amekuwa akitumia uhusiano wake binafsi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, kama kete ya kisiasa katika ugomvi wake na uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Zitto ni mzushi.

Kafulila, ambaye alikuwa Ofisa Habari wa CHADEMA kabla hajavuliwa cheo hicho na kukimbilia NCCR-Mageuzi, alisema hayo jana Dar es Salaam, wakati akijibu taarifa kuwa mbunge huyo amekanusha kumsaidia magari matatu ya kufanyia harakati za kujijenga kisiasa mkoani Kigoma baada ya kujiunga na NCCR-Mageuzi.

Msukumo wa Kafulila kumshutumu Zitto umetokana na tetesi kwamba amekuwa anatumia barua pepe ya mbunge huyo kusambaza taarifa zinazoleta chokochoko katika CHADEMA, kwa kuwa anajua neno siri la anuani ya barua pepe ya mbunge huyo ambaye amekuwa anamtumia kama msaidizi wake katika masuala mengi walipokuwa CHADEMA.

Taarifa hizo zilitokana na mawasiliano ya Zitto na watu walio karibu naye ambao juzi waliliambia gazeti hili wanachokiita ukweli wa madai ya mbunge huyo kumuunga mkono Kafulila katika harakati zake mpya akiwa NCCR-Mageuzi, kiasi cha kumpatia magari matatu kwa ajili ya kuzunguka maeneo kadhaa ya Jimbo la Kigoma Kusini katika siku chache zijazo.

Jana Kafulila aliiambia Tanzania Daima kuwa kama ni hivyo, Zitto ni mzushi, kwani hajawahi kumpa neno la siri la kufungua anuani ya barua pepe yake, wala hafahamu lolote kuhusu anuani hiyo.

Katika toleo la jana, gazeti hili lilkuwa na habari kuwa Zitto alimkana Kafulila, na kwamba mbunge huyo amekiandikia barua chama chake (CHADEMA) kukijulisha msimamo wake binafsi, kwa maelezo kuwa wanaomhusisha na kauli za Kafulila wana nia ya kumchonganisha (Zitto) na uongozi wa CHADEMA.

Kauli kama hii ilitolewa na Shida Salum, mama mzazi wa Zitto, katika mahojiano yake na gazeti la MwanaHALISI wiki mbili zilizopita, akisema mwanawe anatumiwa na watu wenye lengo la kuvuruga chama na kumgombanisha mwanawe na uongozi wa chama chao.

Katika kauli yake ya juzi, Zitto alinukuliwa akiwaeleza watu walio karibu naye kuwa hata taarifa zinazoandikwa na vyombo vya habari kuhusu yeye ‘kumbeba’ Kafulila zinamnukuu bila kumhoji yeye.

Lakini jana Kafulila alisema: “Huo ni uzushi unaotengenezwa…password (neno siri) ni kitu muhimu, tena ni siri ya mhusika, sasa iweje Zitto anipe password yake? Hayo ni maneno ya uzushi.” Wakati huo huo, aliyevuliwa cheo cha Ofisa Mwandamizi wa Sera na Utafiti wa CHADEMA, Juju Danda, jana alitangaza rasmi kujiunga NCCR-Mageuzi kama Kafulila.

“Nimefukuzwa bila kufuata sheria. Sijaridhishwa kabisa na maamuzi yale, ndiyo maana nikaona nitafute tumaini jingine ambalo ni NCCR-Mageuzi,” alisema.
 
kumwelewa zitto kabwe ni rahisi tu................ana maslahi binafsi zaidi na anapenda sifa sana afu amelewa sifa na ananunulijka kirahisi sana...............kwa hiyo ni mtu asiye na msimamo thabiti wa kutetea kile wengine wanacoamini ndiyo msimamo wake........tatizo ni kuwa vile unavyofikiri umemwelewa na ndio msimamo wake kumbe kamoyo kake kako tofauti kabisa....................kazi tunayo
 
huyu KAFULIA ni kama virus kwenye upinzani, am sorry to say that...
 
Hii habari hata ilivyoandikwa tu inaonyesha ni juhudi ya makusudi zinazofanywa na Tanzania Daima kutaka kuwakosanisha Zitto na huyo rafiki wake.

Hivi kweli Zitto atakuwa mjinga kiasi gani mpaka ampatie password huyo rafiki yake?

Unajua haya magazeti yanaandika utafikiri sisi wote ni wajinga kama wao. Kwa maandishi kama hayo juu, ni kweli Kafulila kamwita Zitto Mzushi? Au hata matumizi ya maneno hatuyajui? Hatujui hata kufuatilia logic kwenye sentensi?

Ni siasa chafu mchana mpaka usiku.
 
wewe vipi?mbona mimi ninayo password ya email yako ,tumegombana kwani au unanijua?think
 
Zitto Zito zitoo zitoooo kila mahali mwacheni amalize digrii yake akirudi ataweka press conference kuwajibu maswali yenu msimsemee roho yake
 
Hii habari hata ilivyoandikwa tu inaonyesha ni juhudi ya makusudi zinazofanywa na Tanzania Daima kutaka kuwakosanisha Zitto na huyo rafiki wake.

Hivi kweli Zitto atakuwa mjinga kiasi gani mpaka ampatie password huyo rafiki yake?

Unajua haya magazeti yanaandika utafikiri sisi wote ni wajinga kama wao. Kwa maandishi kama hayo juu, ni kweli Kafulila kamwita Zitto Mzushi? Au hata matumizi ya maneno hatuyajui? Hatujui hata kufuatilia logic kwenye sentensi?

Ni siasa chafu mchana mpaka usiku.

Zitto, Kafulila na Danda lao ni moja, tusiumize vichwa hapa.
 
Yaani we mwandishi ni mpuuzi kweli kweli!

Hivi nyie tz daima kwanini hamna hata chembe ya aibu?Kafulila keshajiondokea zake kwenda nccr lakini hamjaridhika tu bado mnaendelea kumfuata fuata. Nadhani mmetumwa kumgombanisha na swahiba wake zitto na hiyo kazi mnaifanya kwa bidii kweli kweli. Lakini hii yote ni kutaka kummaliza kijana wa watu, muacheni kafulila na nccr yake mnamtafutia nini? Chadema mjipange vizuri na huyo mgombea wenu Muslim Hassanary akapambane na Kafulila msianze kuweweseka saa hizi na kumuandama kijana wa watu.

Nyie mlimuona sisimizi kaamua kujiondokea zake. Kajiunga nccr ghafla amegeuka kuwa tembo, sasa anawanyima usingizi. mtachonga sana mwaka huu, mtaandika udaku mpaka mkome. Kama bado mnamuhitaji si mkamuombe tu msamaha muyamalize arudi kundini, hizi siasa za chuki mnazoziendesha hazitawasaidia chochote zaidi ya kuzidi kuwashusha hadhi yenu mbele ya watanzania.

Shame on you Tz Daima!!
 
huyu KAFULIA ni kama virus kwenye upinzani, am sorry to say that...

Hapana bana, Kafulila ni sisimizi kwa mujibu wa katibu mkuu wa chama chako.
icon5.gif
 
All these guys are political dumber guys, hakuna jipya hapa ndugu zangu
 
All these guys are political dumber guys, hakuna jipya hapa ndugu zangu

Agreed, but if we are not careful... we gonna be dumber than them, especilly by wasting our valuable time on kafulia na jujuman!!
 
Mwandishi wa makala hii ni mchagga aliyeajiriwa kwa kigezo cha ukabila akiwa yeye na TEMBA.

AJIRA ZAO ZILILALAMIKIWA SANA NA WAFANYAKAZI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA AMBAO SIO WACHAGGA WENGINE WANA MIAKA MINNE WAKIWA VIBARUA TU.

PILI MWANDISHI UCHWARA HUYU ANAANDIKA KAMA MSEMAJI WA CHADEMA NA SI MWAJIRIWA WA MBOWE.

ANATOLEA MAELEZO UTIAJIA SAINI HUNDI WA MBOWE WAKATI MTU WA KUTOA JIBU HILO NI SLAA KWANI MBOWE HAWEZI KUSEMA UKWELI.

WEWE KINABO KIJANA WA KICHAGGA UNATETEA CHAKULA CHAKO HUNA KITU.

MCHAGGA KINABO NI MUONGO NA MZANDIKI LWAKATARE AMEHAMA KWA KUIKIASHIFU CUF KIASI CHA KUTUMA CONFIDENTIALS DOCUMENTS ZA CUF HUMU JF,NA AKASEMA ANATUNGA KITABU KUWASHTUMU CUF.

AIDHA UNAPOSEMA KUWA ZITTO AJIBU HARAKA KABLA HUJATOA MAKALA NYINGINE KWANI WEWE NI NANI?YAANI ZITTO AWAJIBIKE KWAKO WEWE KIBARUA WA MBOWE? BOSI WAKO MWENYEWE HAMUWEZI ZITTO UTAWEZA WEWE RIPOTA?

MWANDISHI AMBAYE MAANDIKO YAKO YAMEJAA MAKOSA KILA NUKTA.

KAFULILAH NA DUNDU WALIKUWA VIONGOZI WA CHADEMA ,WEWE NI KIBARUA TU LAZIMA SISI TUWAAMINI HAO KULIKO WEWE NDUGU WA MBOWE.

MWISHO WAMESHINDWA NA WAMELEGEA WENZAO KAANZA MHARIRI WAKO MTENDAJI KIBANDA,KAJA NGURUMO,AKAJA MCHAGGA MWINGINE,AKAJA KWAYU WA IPP NA SASA UMEKUJA WEWE, NYOTE KUMMALIZA ZITTO KABWE HAMUWEZI.ZITTO NI ZAIDI YA TAASISI.
Bwana Mdoho tafadhali naomba huu UKABILA wako unaotaka kuueneza hapa uufute,wewe unazungumzia Wachagga,Uchagga etc ina maana mtu asitoe mawazo yake kwa kua ni mchagga?Halafu usifikirie kua wachagga wote wanamwunga mkono Mbowe kama unavyoidhinisha hapa.
Tafadhali unapotoa hoja zingatia kupunguza makali ya kuchochea ukabila
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom