Edward Kinabo
Nasisitiza tena simwelewi Zitto Kabwe anayefadhili matusi na kashfa za Kafulila dhidi ya CHADEMA. Kwa sababu hiyo, namtaka atoe ufafanuzi haraka iwezekanavyo kuhusu kauli na misimamo yake hiyo, kabla sijaijadili mingine.
Anayemwelewa Zitto anisaidie. Tukutane Jumatano ijayo.
Tatizo la huyu Bwana Edward anataka kumlazimisha Zitto kufikiri kama yeye atakavyo.Edward amenithibitishia kuwa ni mshabiki tu asiyetaka kuyapima mambo kwa undani,Uamuzi wa Zitto kuamua kumsaidia Kafulila haujajengwa katika misingi ya kuwa kwenye chama fulani, Kuna wakati unafika watu wanaangalia uwezo wa mtu na sio uwezo wa chama.
Na hayo mengine anayoogopa kusema sasa kama si fitina ni nini?