Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

Mrisho Gambo kaponzwa na Fitna

Issue ya msikiti kuomba kupewa eneo la wazi limeanza 1990s Gambo akiwa Boma Primary school kama alivyosema Rais mwenyewe kuwa lilianza wakati wa Mwiny, Mkapa na Kikwete na wote wakakataa na hata Gambo alitaka open space ibaki hivyo hivyo..issue ya KKKT Gambo alitaka kuwanusuru Shule isiuzwe na Bank badala yake wauze kiwanja chao kunusuru shule

Kosa kubwa la Gambo ni kuingia kwny pambano la Ubunge yeye na DC wake

Kwa kifupi Rais hataki ma Rc na Dc kujitosa kwny ubunge, kuna mmoja kaonywa dhamira yake ya kumtoa Mbunge Msukuma kule Geita wamekumbushwa hata ukishinda kura za maoni anaweza akakukata vilevile
 
Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.

Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda, Happi, Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
 
Mrisho Gambo kwasababu ya fitina zake ambazo kiukweli zina historia toka akiwa DC Korogwe zimepelekea wenzake kukosa ugali wa watoto.

Bwana huyu amekua mchawi kwa kuhakikisha Madeni na Daqaro hawakai mguu sawa ktk utendaji kazi. Nadhani aliyaka kuonekana yeye tu.Huo in UCHAWI.

Ukipangwa kazi moja na huyu bwana muombe Mungu sana maana atakuchawia tu.
 
Rais Magufuli ametoa angalizo kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wakurugenzi, maRAS, DAS nk kutoutamani ubunge na badala yake waridhike na vyeo vyao.

Hii ni angalizo muhimu sana kwa viongozi vijana wakiwemo akina Kasesela, Makonda Happi Katambi, Shigella, Ole sabaya Jerry Murro, Ole Sendeka nk.....nk....nk

Maendeleo hayana vyama!
Tstizo kiti chs mkuu was mkoa unakikalia lakini huna imani nacho muda wowote unaweza kutumbuliwa kwa nini wasiende kwenye ubunge ili waishi kwa furaha muda wote
 
Nimefuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo alipokua akimwapisha Mkuu wa mkoa wa Arusha na kushuhudia viapo vya wakuu wa wilaya aliowateua,

katika hotuba yake Rais amewaasa nyote aliowateua msiwe na mioyo ya tamaa,

Rais kasisitiza mridhike na nafasi mlizonazo la sivyo mtaka yote hukosa yote, kwa anaejidanganya kwamba anaenda kugombea ubunge atakua amejimaliza mwenyewe maana Rais kasema bila kificho kuwa hata kwenye kura za maoni ukiwa wa kwanza wana uwezo wa kukukanseli wakapitisha mtu wa tatu,

Kwa mteule wa Rais anayejidanganya kuwa akipata ubunge atapata na uwaziri mweshimiwa kasema anajidanganya maana ye akikutaka uwe waziri hata usipokua mbunge atakuteua mwenyewe na akupe uwaziri

uzuri wa Rais wetu waga hakopeshi anatoa makavu hapohapo, sasa kazi ni kwenu ndumilakiwili

Viva Rais Magufuli Tano tena👊

nakala kwa Mrisho Gambo Lema alikuonya ukajifanya kichwa ngumu sasa na ubunge ndo hupati sasa
 
Nimefuatilia hotuba ya Rais Magufuli leo alipokua akimwapisha Mkui wa mkoa wa Arusha na kushuhudia viapo vya wakuu wa wilaya aliowateua,

katika hotuba yake Rais amewaasa nyote aliowateua msiwe na mioyo ya tamaa,

Rais kasisitiza mridhike na nafasi mlizonazo la sivyo mtaka yote hukosa yote, kwa anaejidanganya kwamba anaenda kugombea ubunge atakua amejimaliza mwenyewe maana Rais kasema bila kificho kuwa hata kwenye kura za maoni ukiwa wa kwanza wana uwezo wa kukukanseli wakapitisha mtu wa tatu,

Kwa mteule wa Rais anayejidanganya kuwa akipata ubunge atapata na uwaziri mweshimiwa kasema anajidanganya maana ye akikutaka uwe waziri hata usipokua mbunge atakuteua mwenyewe na akupe uwaziri

uzuri wa Rais wetu waga hakopeshi anatoa makavu hapohapo, sasa kazi ni kwenu ndumilakiwili

Viva JPM Tano tena👊
Huyu jamaa hawezi kosa kura yangu tena.
 
Mrisho Gambo kwasababu ya fitina zake ambazo kiukweli zina historia toka akiwa DC Korogwe zimepelekea wenzake kukosa ugali wa watoto.

Bwana huyu amekua mchawi kwa kuhakikisha Madeni na Daqaro hawakai mguu sawa ktk utendaji kazi. Nadhani aliyaka kuonekana yeye tu.Huo in UCHAWI.

Ukipangwa kazi moja na huyu bwana muombe Mungu sana maana atakuchawia tu.

Wakati unaanza Kutuandikia huu Utumbo wako hapa ulianza Kujiridhisha Kwanza na Neno Uchawi, maana yake na ile Dhana yake Kuu Kiuhalisia?
 
Back
Top Bottom