Makonda aturudisha 2015-21 :Ya JPM kujirudia. Anahisi kuwa ndiye Rais wa Nchi. Atumia fursa ya Mama kuwa Nje kikazi

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Wakati Mh Samia Suluhu yupo nje ya nchi kikazi , Paul Makonda anatumia ziara zake ambazo zimepewa jina la 'OPERESHENI CHAFUA MBOWE" kujijenga kisiasa na siyo kujenga chama wala bosi wake , yaani mwenyekiti wa chama.

RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza kuinfluence wenye mamlaka waanze mchakato huo!

MAKONDA hajawai kuwa Mtumishi wa Umma, ni kijana tu wa Mtaani na UVCCM na hajui lolote Nje ya Nafasi za uteuzi. Hazijui standing orders ndiyo maana anaita wataaluma, kuwatukana na kuwafukuza.

Makonda Anautafuta kwa kutumia jina la DR SAMIA na jina la Dr MAGUFULI, na tena akitumia mikutano style ya Dr Magufuli wakati itifaki haimpi nguvu ya kuwaamrisha na kuwawajibisha watumishi wa Umma

Yeye kama kiongozi wa CHAMA hapaswi kuwahoji watumishi wa umma walio katika TECHNICAL TEAM angaweza kuwahoji watumishi wa umma waliopo kwenye Administration kama RAS, RMO na wengine wenye majukumu ya kusimamia SERA.

Hakika kama bado ningekua huko, hata kwenda kwenye mikutano au kuitwa kuhojiwa naye NISINGEENDA , standing ORDERS zinajieleza mtumishi wa Umma anawajibika kwa nani

Magufuli alikua ni RAIS, huyu hana mandate ya kuita ma Police , Madaktari na Wahandisi kuwahoji.

Siasa IPO na ndiyo inaamua maisha yetu, ila SIYO TUBEBWE NA PROPAGANDA za Makonda ambaye tunajua kabisa ni muongo na anatafuta umaarufu, mpaka tuache kila kitu tubaki tunamjadili yeye.

1. Anasema Chadema wanataka kubadili katiba ili kuwaongeza waaunge wawe 740 , wakati CDM wamesema idadi ya wabunge ipungue chini ya 320 kama ilivyopendekezwa na Warioba.

2. Anasema MAANDAMANO hayatakiwi, maana yataua utalii wakati yeye anaandamanisha watu kila siku mkoa kwa mkoa, amefunga barabara toka - KIA- mpaka Arusha , watalii wamechelewa ndege, wanaowahi Ngorongoro , wanaowahi ku-connect ndege

Anapaswa kuwaripoti kwa MKUU wa MKOA na mkuu wa Mkoa amwambie RAS na WAKURUGENZI au WAKUU WA IDARA washuhulikie kero tajwa. Ila si kwa Makonda kujifanya yeye ni JAJI
 
Ukimtazama vizuri Makonda ni kama anajifanya Magufuli, anaamini style ya Magufuli ilikubalika sana maana kipindi Cha Magufuli propaganda zilizokuwa ni kuhadaa umma kuwa style ya Magufuli inakubalika sana.

Kipindi Cha Magufuli ukiacha mitandao ya kijamii iliyoweza kuongea kwa uwazi, media nyingine zote ziliimba utukufu wake, na walirusha matukio yaliyokuwa staged kuwa Magufuli anakubalika sana. Lakini ilipofika wakati wa uchaguzi, alinajisi uchaguzi Ili yasionekane matokea ya kweli.

Anachokifanya Makonda ni copy and paste tabia zilezile, kwa muktadha kuwa ndio hali watakayo wananchi. Ziara zake zimegeuka usumbufu mkubwa kwa raia, kwani inatumika nguvu kubwa ya Dola kuifanikisha hiyo hadaa.
 
Tanzania ni nchi ya watu wavumilivu sana ila pia wabinafsi sana. Ogopa nchi watu wananaamshwa saa kumi kupandishwa malori kwenda mkutanoni wasikojua agenda wanachojua ni anakuja fulani na wakifika wanapewa 5000 kwa kazi ya kupiga makofi,kuzomea na kushangilia hata upuuzi. Reasoning yetu ni ndogo sana,hatuhoji tunayofanyiwa wala hatujihoji kwanini tunayakubali tu. Nimalizie siku zangu duniani nipumzike mimi nishachoka. Ukihoji unasimangwa na hata unaowasaidia,utasikia yeye ni nani? Na hii laana ya kusikiliza maoni kwa kutazama anayeyatoa na sio anachokisema nayo itatumaliza.
 
RC na WAZIRI hawana mamlaka hata ya kumfukuza mtu kazi. Ila wanaweza kuinfluence wenye mamlaka waanze mchakato huo!

MAKONDA hajawai kua Mtumishi wa Umma, ni kijana tu wa Mtaani na UVCCM na hajui lolote Nje ya Nafasi za uteuzi. Hazijui standing orders ndiyo maana anaita wataaluma, kuwatukana na kuwafukuza.

Makonda Anautafuta kwa kutumia jina la DR SAMIA na jina la Dr MAGUFULI, na tena akitumia mikutano style ya Dr Magufuli wakati itifaki haimpi nguvu ya kuwaamrisha na kuwawajibisha watumishi wa Umma

Yeye kama kiongozi wa CHAMA hapaswi kuwahoji watumishi wa umma walio katika TECHNICAL TEAM angaweza kuwahoji watumishi wa umma waliopo kwenye Administration kama RAS, RMO na wengine wenye majukumu ya kusimamia SERA.

Hakika kama bado ningekua huko, hata kwenda kwenye mikutano au kuitwa kuhojiwa naye NISINGEENDA , standing ORDERS zinajieleza mtumishi wa Umma anawajibika kwa nani

Magufuli alikua ni RAIS, huyu hana mandate ya kuita ma Police , Madaktari na Wahandisi kuwahoji.

Siasa IPO na ndiyo inaamua maisha yetu, ila SIYO TUBEBWE NA PROPAGANDA za Makonda ambaye tunajua kabisa ni muongo na anatafuta umaarufu, mpaka tuache kila kitu tubaki tunamjadili yeye.

1. Anasema Chadema wanataka kubadili katiba ili kuwaongeza waaunge wawe 740 , wakati CDM wamesema idadi ya wabunge ipungue chini ya 320 kama ilivyopendekezwa na Warioba.

2. Anasema MAANDAMANO hayatakiwi, maana yataua utalii wakati yeye anaandamanisha watu kila siku mkoa kwa mkoa, amefunga barabara toka - KIA- mpaka Arusha , watalii wamechelewa ndege, wanaowahi Ngorongoro , wanaowahi ku-connect ndege

Anapaswa kuwaripoti kwa MKUU wa MKOA na mkuu wa Mkoa amwambie RAS na WAKURUGENZI au WAKUU WA IDARA washuhulikie kero tajwa. Ila si kwa Makonda kujifanya yeye ni JAJI
Hao Mafala waache wahojiwe tu, yaani mimi niwe mkuu wa Idara halafu mpuuzi aniambie eti natakiwa kuhojiwa sijui na Katibu sijui na mwenezi? Watajua hawajui.

Hata kama hicho kikao nitaitwa na mkuu wangu wa kazi, bado hakutakuwa na wa kunisimamisha hadharani kujibu maswali.
Hao wengi ni wale waliopata kazi kwa connections za hao hao wanasiasa ndiyo maana wana watetemekea.
Watu wanaojielewa huwa hawayumbishwi na wanasiasa, wao husimamia taaluma zao.

Tuliona jinsi Dkt Nyambura Moremi, aliyekua Mkurugenzi mkuu wa udhibiti wa Maabara alivyosimamia taaluma yake kipindi cha mwendazake na aliona bora atumbuliwe kuliko kuji submit kwa wanasiasa

Pia tuliona Dkt Mwele Malecela na yeye alisimamia taaluma yake.
 
Jao Mafala waache wahojiwe tu, yaani mimi niwe mkuu wa Idara halafu mpuuzi aniambie eti mayakiwa kuhojiwa sijui na Katibu sijui na mwenezi? Watajua hawajui.
Hata kama hicho kikao nitaitwa na mkuu wangu wa kazi, bado hakutakuwa na wa kunisimamisha hadharani kujibu maswali.
Hao wengi ni wale waliopata kazi kwa connections za hao hao wanasiasa ndiyo maana wana watetemekea.
Watu wanaojielewa huwa hawayumbishwe na wanasiasa, wao husimamia taaluma zao.

Tuliona jinsi Dkt Nyambura Moremi, aliyekua Mkurugenzi mkuu wa udhibiti wa Maabara alivyosimamia taaluma yake kipindi cha mwendazake na aliona bora atumbuliwe kuliko kuji submit kwa wanasiasa

Pia tuliona Dkt Mwele Malecela na yeye alisimamia taaluma yake.
Lakini aiishia kufukuzwa na dictator
 
Tanzania ni nchi ya watu wavumilivu sana ila pia wabinafsi sana. Ogopa nchi watu wananaamshwa saa kumi kupandishwa malori kwenda mkutanoni wasikojua agenda wanachojua ni anakuja fulani na wakifika wanapewa 5000 kwa kazi ya kupiga makofi,kuzomea na kushangilia hata upuuzi. Reasoning yetu ni ndogo sana,hatuhoji tunayofanyiwa wala hatujihoji kwanini tunayakubali tu. Nimalizie siku zangu duniani nipumzike mimi nishachoka. Ukihoji unasimangwa na hata unaowasaidia,utasikia yeye ni nani? Na hii laana ya kusikiliza maoni kwa kutazama anayeyatoa na sio anachokisema nayo itatumaliza.
Mfumo wetu unazalisha watu wajinga sn, kuanzia wasomi wenyewe ni wajinga hawajaelimika wanapelekwa badala ya kusimamia misingi
 
Ukimtazama vizuri Makonda ni kama anajifanya Magufuli, anaamini style ya Magufuli ilikubalika sana maana kipindi Cha Magufuli propaganda zilizokuwa ni kuhadaa umma kuwa style ya Magufuli inakubalika sana.

Kipindi Cha Magufuli ukiacha mitandao ya kijamii iliyoweza kuongea kwa uwazi, media nyingine zote ziliimba utukufu wake, na walirusha matukio yaliyokuwa staged kuwa Magufuli anakubalika sana. Lakini ilipofika wakati wa uchaguzi, alinajisi uchaguzi Ili yasionekane matokea ya kweli. Anachokifanya Makonda ni copy and paste tabia zilezile, kwa muktadha kuwa ndio hali watakayo wananchi. Ziara zake zimegeuka usumbufu mkubwa kwa raia, kwani inatumika nguvu kubwa ya Dola kuifanikisha hiyo hadaa.
anafukuza wakandarasi hajui kuna kesi za
kazi ya uenezi ni nini?
Nunua Katiba ya CCM, ibara ya 107 utapata majukumu yake.
Kwa uchache Hakuna jukumu la kumzungumzia Mbowe kuanzia DAr, Tegeta, Bagamoyo, Kabuku, Tanga, Korogwe, , Same, Mwanga , Njia panda, Kiboriloni, Moshi-Pasua, Kia, Tengeru, Arusha mjini , babati, ikungi, singida bado tu anamzungumzia Mbowe.
Bado hajajibu kuhusu watu waliopotea, kuhusu Uchunguzi wa matukio muhimu, umeme na elimiu.
 
Siyo lile S*** Gang?
Kwa akili zake kwel angeweza mrudisha?
Ndiyo walimuaminisha kuwa kumleta yeye na kumpa Dotto unaibu Waziri Mkuu atakubalika huku kanda ya ziwa,badala yake Makonda anajijenga yeye,na sisi huku kanda ya ziwa tunasema hivi HATUDANGANYIKI.
 
anafukuza wakandarasi hajui kuna kesi za

Nunua Katiba ya CCM, ibara ya 107 utapata majukumu yake.
Kwa uchache Hakuna jukumu la kumzungumzia Mbowe kuanzia DAr, Tegeta, Bagamoyo, Kabuku, Tanga, Korogwe, , Same, Mwanga , Njia panda, Kiboriloni, Moshi-Pasua, Kia, Tengeru, Arusha mjini , babati, ikungi, singida bado tu anamzungumzia Mbowe.
Bado hajajibu kuhusu watu waliopotea, kuhusu Uchunguzi wa matukio muhimu, umeme na elimiu.
siwezi kununua katiba ya ccm, nina akili timamu.. ndiyo maana nikakuuliza wewe uliyekereketwa kazi ya katibu mwenezi ni nini ili tuone alipokosea, ww ukaanza kupayuka ma-ibara ya katiba :D
 
Sikujibu, naona unataka ugomvi ila mie nishatoka kuswali sitaki ugomvina maskini.
 
Ndiyo walimuaminisha kuwa kumleta yeye na kumpa Dotto unaibu Waziri Mkuu atakubalika huku kanda ya ziwa,badala yake Makonda anajijenga yeye,na sisi huku kanda ya ziwa tunasema hivi HATUDANGANYIKI.
Of Course kuzungika nchi nzima ni yeye kujijenga kisiasa, 2025 Mama Kizimkazi kule yeye anataka awe mgombea mwenza na ndio maanaZIARA YAKE YA KUMTUKANA MBOWE NCHI NZIMA alisema anatamani 2015 angekuwa mwenezi, means waenezi wote waliopita anawaona takataka.
 
Back
Top Bottom