MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 12,730
- 31,626
Huyo mtu kwisha habari yake inakuja barua nyingine yakutengua uteuzi akalime magimbi huko kwao Mpitimbi. Huwezi kushindana na mamlaka.
Matumizi mabaya ya simuLakini lukuvi amehudumu wizara ya ardhi vizuri Sana karibu awamu tatu hivi why atumbuliwe alikosa nini?
Be specific.Matumizi mabaya ya simu
Si mwenzetu na pia ni threat kwani anaonekana ana 'nguvu' ya kuweza kukigombania kiti cha unyapara mkuu.Lakini lukuvi amehudumu wizara ya ardhi vizuri Sana karibu awamu tatu hivi why atumbuliwe alikosa nini?
Mbwa huwa habweki akiwa na nyama mdomoni, if you know you know.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
- WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
- HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.
Acheni fitna na roho mbaya, husuda za kiafrika hata hao uliowataja wangepewa hiyo nafasi lazima mngekuja na mabandiko mengi sana humu.Angemteua hata Lukuvi.
Lukuvi na beshte yake kabugi wamepotezwa kwenye ulingo wa siasa. Chezeya mama wewe....
Kwisha KwishaShule ya uongozi imefia hapo
Mpe Pole, huyo Polepole.
😀😀😀😀😀😀Mbwa huwa habweki akiwa na nyama mdomoni, if you know you know.
Haya mambo ya kuheshimu mamlaka ndio hutengeneza maraisi miungu huku afrika. Raisi anapaswa kupingwa ndani na nje ya chama.Huyo mtu kwisha habari yake inakuja barua nyingine yakutengua uteuzi akalime magimbi huko kwao Mpitimbi. Huwezi kushindana na mamlaka.
Hii nchi utafikiri tupo kwenye The Godfather na Kina Michael Corleone...
Na hizo ndio moja ya Offer ambazo ni very difficult ku-refuse...
Sio kwamba nasifia bali nasikitika sababu Taifa halipaswi kuendeshwa hivi
Sijui ila hata kama ingekuwa ni promotion huoni kwamba ingekuwa ni kama Rushwa ya kumziba mdomo..., no matter how you look at this, it stinks.... (Unless ni coincidence kwenda huko na sio sababu anapinga)Hivi mabalozi huwa wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi?
Baada ya miaka 4 mkataba unaisha akirudi hatakuwa na jipyaSlow slow kama amehuzulia uapisho basi kakubali kujimaliza
Ataenda huko then baada ya muda mfupi anaondolewa
Kitaa kugumu hawezi kuishi nje na ajiraSi kuna mtu kasema huyo PolePole hataapishwa