Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

What's this..?.

"Mh. Balozi najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia, utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe na tutazungumza kwa urefu..." Samia says.
Anaenda kukalishwa chini kupigwa mkwara na 'professionals' then ndiyo akaonane na 'taasisi ya urais'.
Nimeusikiliza kwa makini huo mkwara na umenitafakarisha sana.

Nimebaini bi Samia akitoa sauti ya 'authority' wakati anayatamka hayo maneno.
 
HV huyu jamaa polepole Ni wa wapi siyo ileje kweli
Au mtu wa sumbawanga huyu
Nani anajuwa orgin yake
 
Polepole katupiga chenga ya mwili amekuwa kinyonga au ni tactical move hadi ametokea kwenye kiapo. Maumivu ya mataga hili la kati ni kama goal la offside la Berkane majuzi.

Mwamba sijamuelewa, tafadhari mliomwelewa Polepole pundits wa siasa tusaidieni.

That was an early morning spinning bird!
 
Polepole katupiga chenga ya mwili amekuwa kinyonga au ni tactical move hadi ametokea kwenye kiapo. Maumivu ya mataga hili la kati ni kama goal la offside la Berkane majuzi.

Mwamba sijamuelewa, tafadhari mliomwelewa Polepole pundits wa siasa tusaidieni.

That was an early morning spinning bird!

Pole. Wameunganisha uzi.
 
issue sio njaa, issue ni polepole kuonekana yupo kimaslahi zaidi ilihali nafasi aliyoteuliwa inawakilisha maslahi ya Taifa. Ipo hivi ukikataa nafasi ya uteuzi kuiwakilisha nchi yako unaonekana sio mzalendo sababu kama issue ni kuipenda nchi yako, je huko unapokwenda huiwakilishi nchi yako? jibu ni ndio basi ni ngumu kukataa

issue ya kutolewa hiyo ipo tu, hata mtu leo akiamua kukufanyia figisu hawezi kukukosa kuna mahali utanasa tu
 
Lakini lukuvi amehudumu wizara ya ardhi vizuri Sana karibu awamu tatu hivi why atumbuliwe alikosa nini?
Unaposema kahudumu vizuri una maanisha nini.Wakati nchi imekuwq ina makazi holela kupota kawaida.Kasi yq upimaji ni ndogo kuliko kasi ya ujenzi.Upimaji wa viwanja umejaq urasimu nq longolongo nyingi alaf leo mnasema Lukuvi kafanya vizuri.Kafanya nn hasa
 
Back
Top Bottom