Ikulu, Dodoma: Humphrey Polepole na Waziri Kindamba waapishwa

Nani alistahili kuwa Balozi Malawi?
Ambaye sio Mbunge (mwenye majukumu tayari) hata kama ni mbunge bora peleka yes Mam sio mtu anayeonekana kupinga / critical. Bila mawazo kinzani hatuwezi kujenga..

Au unataka kusema the only qualified individual Tanzania kuwa Balozi ni huyu dogo ?, Binafsi nadhani Balozi inabidi awe mtu mature na mwanadiplomasia sio mtu critical
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
  1. WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
  2. HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.

View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi

View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe

Tuseme w*h*n* wamemweza au? Mtego uliobaki ni kwenye sharti la kuchanjwa Ili uingie Malawi, macho na masikio yetu yapo hapo!!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
  1. WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
  2. HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.

View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi

View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe

Maisha yanaenda kasi sanaa. Kama Mh Polepole alipata Division Zero form Six. Lakini ameshashika vyeo kibao katika nchi. Kweli kusoma sio kufanikiwa.! Kufanikiwa ni kukaa karibu na wakubwa tuu..!
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan anawaapisha viongozi aliowateua kama ifuatavyo:
  1. WAZIRI KINDAMBA WAZIRI kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe.
  2. HUMPHREY HEZRON POLEPOLE kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi.

View attachment 2151319
Picha: Humphrey Polepole akiapa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi

View attachment 2151318
Waziri Kindamba akithibitisha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjombe

Ametia msimamo havai barakoa pamoja na boss wake kuvaa
 
Sijui ila hata kama ingekuwa ni promotion huoni kwamba ingekuwa ni kama Rushwa ya kumziba mdomo..., no matter how you look at this, it stinks.... (Unless ni coincidence kwenda huko na sio sababu anapinga)
OK
That's why nimeuliza ili kuweza kujua kiwango cha mshahara wenyewe
Ili tujue Landa ni ofa nzuri mtu yeyote angeshindwa kukataa.
 
Kama Mh Polepole alipata Division Zero form Six. Lakini ameshashika vyeo kibao katika nchi. Kweli kusoma sio kufanikiwa.!
Wanasema kusoma siyo kuelimika na wala kuelimika siyo kusoma, kuna watu wangesoma huenda wasingekuwepo duniani hivi sasa
 
Back
Top Bottom