Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.

Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.

Tatu ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.

Nne,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari

Tano,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.

Sita..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.

Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawa interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
Saa 10 usiku unateseka na Freeman!
Tafuta pesa kijana, achana na mambo mengine yasiyo na tija kwako.
 
Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.

Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.

Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.

Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari

Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.

Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.

Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
Ukiamka usome hiki ulichotupostia ukiwa usingizini
 
Kichwa cha uzi nilidhani ndani nitakutana na ushahidi usiotia shaka! Nadhani wewe ni mbunge wa jimbo la hai kwa sasa, unamsagia kunguni mwenyekiti asijekutoka akagombea kukutoa kwenye jimbo.

Ukiachana na wale wanaopata maelekezo kutoka juu, sidhani kama mtanzania mwenye akili timamu anaweza kushabikia kufungwa kwa mbowe.

Maslahi yenu ninini enyi watu? Kwa muda mrefu sasa tunateseka kwa kukosekana kwa sauti ya upinzani bungeni, na bado!
 
Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.

Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.

Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.

Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari

Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.

Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.

Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.

Wafilipi 4:4-7
Neno: Bibilia Takatifu

4 Furahini katika Bwana siku zote, tena nasema furahini! 5 Upole wenu ufahamike kwa watu wote. Bwana anakaribia kuja. 6 Msifadhaike juu ya jambo lo lote; lakini katika kila jambo mjulisheni Mungu haja zenu, kwa kusali na kuomba pamoja na kushu kuru 7 Na amani ya Mungu, ambayo inapita ufahamu wote, italinda mioyo yenu na nia zenu kwa Kristo Yesu
 
Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya...
We una laana inakutafuna , yani upelelezi wa kulazimisha A kuwa B Ndo upelelezi , sikia ipo siku Kuna watu watakufa mdomo wazi KWa matendo yao ya ajabu Mbowe mnamchelesha ila atatoka , na mkilazimisha kumfunga ipo siku mtakutana na watu barabarani nyie endeleni na ushabiki Katika Jambo hili
 
Hukumu ya hii kesi itaifanya Tanzania kuwa huru hizi sarakasi za mwanzoni wacha ziendelee kwanza onganeni vyeo kama mlivyopeana degree za kaptula ila mwisho wa kila jambo upo.
 
Mtoa post kwa sababu unapenda sana magaidi, utawazaa then watafungwa ukiona.
 
Hapo vip!!
Binafsi tokea mwanzo niliamini jamuhuri wapo sahihi na ni wakweli dhidi ya Mbowe,na hii inadhihirishwa katika maeneo haya.

Kwanza upeleleze wa Kingai sio wa mchezo mchezo ni mtaalam mwenye udhoefu wa muda mrefu katika maswala ya upelelezi na hii kesi ya Mbowe upelelezi wake ni umeanza muda mrefu sana sio juzi tokea mwa 2020.

Pili, ushahidi ya wakina Mahita ni ushahidi mzito sana...ni watu ambao ni mapapa wa system kwa muda..na serikali imewaanda hawa watu kwa pesa nyingi sana na kwa muda mrefu ili waweze kuisaidia taifa.

Tatu,Tanzani ni nchi bora sana Duniani kwa upelelezi na wapelelezi ni hawa waliompeleleza Mbowe..hivyo upelelezi wao ni wakitaalamu kama majibu ya Dactari

Nne,hukumu ndogo dhidi ya kesi ya mbowe ni ushahidi tosha ya kwamba upelelezi ni wakitaalam na u.efuata sheria.

Tano..gaidi sio mpaka mtu alipue bomu au ateke watu ndio anakuwa guidi...juzi uingereza jamaa mmoja alikuwa na mikakati ya kumteka mbunge tu basi akatuhumiwa kama gaidi.

Nimalize kwa kusema acheni ushabiki wa itikadi kwenye hili..wakina Kingai na wengine hawana interest yeyote dhidi ya kesi ya mbowe bali wanamshughulikia kama muhalifu yeyote mwenye makosa.
Upopoma
 
yaani Bora wangempa kesi ya kufanya uasi.
Ila sio ugaidi.kwanza hata jina lake na ugaidi haviendani.
Mnaujua ugaidi nyie.?
Waliwaita masheikh wa uamsho magaidi wakakaa jela miaka na miaka wamekuja kuachiwa Bila ya kuhukumiwa.
 
Back
Top Bottom