Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,605
- 59,744
Na mimi nimekuuliza weweNina muuliza huyo aliyesema hilo

Duhuuuuuuh kumbe hadithi!Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Sijawahi na sitowahiNa mimi nimekuuliza wewe
Ni kweli mkuuDu
Duhuuuuuuh kumbe hadithi!
Ila isikukute Bali uwe msikilizaji tuuNi kweli mkuu
Wewe kwenda lodge kuliwa ni kujiheshimu?Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Ila kunyonya kirungu umewahiSijawahi na sitowahi
Kirungu ndiyo nini mkuu?Ila kunyonya kirungu umewahi
MashineKirungu ndiyo nini mkuu?
Ulijuajee
Unamwambia, twende nikakutambulishe kwa ndugu zanguHaiwezekani kitu kama hiko, yeye mwenyewe alitaka kuonja tu, waoaji hawaji hivyo
Kichwa!Kirungu ndiyo nini mkuu?
Huo ndio ukweliMbona unarahisisha sana mambo ndege
mpaka boda anakutongoza we ni malaya tu,ulikosa bwana wa kukufata,au kujaza mafuta,au taxi ,bolt,bajaj hata uende panda boda buku.Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Hata mapdri wanapakwa mafuta, wewe utachokonolewaUtapakwa mafuta shauri yako