kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #461
Ungemuoa wewe mkuu, anaonekana ana moyo safiKalikua kadogo kweli, ila sasa ana watoto watatu aisee ngoja nimpe hela ya wine kidogo.
Ungemuoa wewe mkuu, anaonekana ana moyo safiKalikua kadogo kweli, ila sasa ana watoto watatu aisee ngoja nimpe hela ya wine kidogo.
Nafkiri ni mke wangu zamani tu.😆.Ungemuoa wewe mkuu, anaonekana ana moyo safi
Huyo anakulolo sana aisee, siku ukiitaka anaweza kukupa upashe kiporoNafkiri ni mke wangu zamani tu.😆.
Hata yeye anasema njoo unioe tu hata mara 10 nipo nakusubiri.
Sayuni nakwambia tulionana Paris huyu binti kaishia kulia tu.Nafkiri ni mke wangu zamani tu.😆.
Hata yeye anasema njoo unioe tu hata mara 10 nipo nakusubiri.
Hujamtendea haki huyo binti, Ila naamini kila kitu kinatokea kwasababu na maisha mengine lazima yaendeleeSayuni nakwambia tulionana Paris huyu binti kaishia kulia tu.
Namwuliza umekuja kulia😁?
Akanitandika vingumi pale huyo kaondoka.
Swali ikawa "kwanini ulinidanganya"
Mbona wanawake tupo wengi tu mkuuSasa ndio tunanyang'anyana tu
Mwache Kijana ajaribu bahati yake MjukuuBabu na wewe unamuunga mkono kabisa kwenye hili?
MmmhMbona wanawake tupo wengi tu mkuu
Yupo itakuwa alikuwa na baba chumbaniMama angu yupo wapi kwanza...🥺🥺🥺
🤗🤗🤗🤗🥺🥺🥺 Nikuombe picha ya baiskeli plz 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 takufa leoYupo itakuwa alikuwa na baba chumbani
🤗🤗🤗🤗🥺🥺🥺 Nikuombe picha ya baiskeli plz 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 takufa leo
Afu wabishi mnoo, 😂😂😂Binadamu wa humu wajuaji sana kwakweli😁😁
Huo unatosha Babu, lakini mshika mawili...😁😁Mwache Kijana ajaribu bahati yake Mjukuu
After all, huenda mkielewana jamaa atakuwa backup Incase mambo yenu na huyo uliyenaye yakienda mrama
Mwaka 47 Kuna Binti alipanda mazao jamii ya ufuta kama zao la biashara
Hata hivyo umbali wa mita 78 hivi alipanda mbaazi kwaajili hiyo hiyo
Bahati mbaya mvua hazikuwa nzuri Mwaka ule hivyo zao la Ufuta likaungua
Bahati nzuri Mbaazi zake zilistawi vizuri na alifanikiwa kuvuna tani nyingi za Mbaazi
Niongeze mfano mwingine Mjukuu ama huu unatosha 😜
Hakika mkuunyege hua zinaathiri sana mfumo wa akili
Nyege mdudu mbaya sana
Hahaha......haya uje unitembelee Jioni ili nikueleze mengi Mjukuu wangu 🤗Huo unatosha Babu, lakini mshika mawili...😁😁
Bodaboda wanaongoza kuchukua madada poa.Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr