😁😁wakina nani tena hao wanafanya hivyo, ndiyo nasikia leoAisee ni noma.... Nyie siku hizi mnajimaliza wenyewe kimya kimya na midoli
Kwani kuna ubaya mkuu?dah kwahiyo ulikwenda Lodge kwa jamaa
wanawake siku hizi mnakiuza kama biskuti. Mahusiano gani mnakutana gest, yaani huna kwako na yeye hana kwake?? Na hapo jamaa amekosea wapi? unajifanya huna hadhi ya kutongozwa na bodaboda? utakuta alokununua siku hiyo ni dalali wa vyumba kinyamlewa hukooo. Sipendi sana kuskia mwanamke ametongozwa alaf akajibu ameshushiwa heshima, au ni msagaji?? mnakera kujikuta ni viumbe special. Mnaringia uterezi!!!!!! NyaaaambafKuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Pole sana mkuu, inaonekana umeumizwa sana na hiliwanawake siku hizi mnakiuza kama biskuti. Mahusiano gani mnakutana gest, yaani huna kwako na yeye hana kwake?? Na hapo jamaa amekosea wapi? unajifanya huna hadhi ya kutongozwa na bodaboda? utakuta alokununua siku hiyo ni dalali wa vyumba kinyamlewa hukooo. Sipendi sana kuskia mwanamke ametongozwa alaf akajibu ameshushiwa heshima, au ni msagaji?? mnakera kujikuta ni viumbe special. Mnaringia uterezi!!!!!! Nyaaaambaf
Si nyie hao hadi dushe hamuisikii vizuri😁😁wakina nani tena hao wanafanya hivyo, ndiyo nasikia leo
Ndiyo vibayasasa kwani vibaya kujaribu bahati?
Loh! Mimi siwezi kufanya hivyoSi nyie hao hadi dushe hamuisikii vizuri
Yaani sio kuumizwa tu, limenitesa mpaka nimeanguka na kuzilai kwa muda. Ndo maana hamuolewi siku hizi, mnaishia kuharibu vizazi tu. Na mtapigwa sana mitungo kwa hivo vitabia. Kataa tu sema sikutaki, au toa dau lako uone kama jamaa anamudu au vipi. Eti tujiheshimu, heshima gani unataka? tupige kono bao mpaka tufe akati vitobo vimejaa roadPole sana mkuu, inaonekana umeumizwa sana na hili
Kama hufanyi hivyo ni vizuri unafaa sanaLoh! Mimi siwezi kufanya hivyo
Ndo zao mbona 🤣Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Watakufa na ngomaNdo zao mbona 🤣
Asante mkuuKama hufanyi hivyo ni vizuri unafaa sana
Sasa kupigwa mtungo hapo kunahusiana na nini mkuu?Yaani sio kuumizwa tu, limenitesa mpaka nimeanguka na kuzilai kwa muda. Ndo maana hamuolewi siku hizi, mnaishia kuharibu vizazi tu. Na mtapigwa sana mitungo kwa hivo vitabia. Kataa tu sema sikutaki, au toa dau lako uone kama jamaa anamudu au vipi. Eti tujiheshimu, heshima gani unataka? tupige kono bao mpaka tufe akati vitobo vimejaa road
Utapakwa mafuta shauri yakoNimegundua wanaume tumebaki wachache sana
Una tabia za kike kike jiangalie sana hizo ni sign za hatar kwako
Ushawahi kupigwa au unataka kupigwa?Sasa kupigwa mtungo hapo kunahusiana na nini mkuu?
KaribuAsante mkuu
Nina muuliza huyo aliyesema hiloUshawahi kupigwa au unataka kupigwa?