kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
- #341
Mbadilike kuna magonjwaTuache basi kama ndivyo tulivyo
Mbadilike kuna magonjwaTuache basi kama ndivyo tulivyo
😂Huyo mdada ni wewe ila umepindisha tu
Ulijuajee😁😁🙌Huyo mdada ni wewe ila umepindisha tu
Kama unaweza kula chakula kilicholiwa na mwenzio, huku unajua kabisa. Unahitaji maombiSasa kujaribu bahati yake ni tatizo?
kwani wanaoenda lodge wote wanaolewa na walioenda nao huko lodge?
Hao wanawake wanaofanya hivyo bila shaka watakuwa na matatizo yaosi mnapenda boda romantic, unamkumbatia, kwenye boda ukikaa hata hutulii, unabenua tako juu,, nauli hamlipi, mnakopa,,
badoboda endeleeni kukabia juu hasa kwa mademu wasiojielewa,,
boda katest mitambo,
Mbona unarahisisha sana mambo ndegeHuyo bibie alimkubalia bwana bodaboda na bwana bodaboda alimkula huyo bibie.
Siku nyingine akikuletea story kama hiyo mwambie akawadanganye watoto wake wachanga 😎.
ndio huyo rafiki yakoHao wanawake wanaofanya hivyo bila shaka watakuwa na matatizo yao
Haiwezekani kitu kama hiko, yeye mwenyewe alitaka kuonja tu, waoaji hawaji hivyoInawezekana huyo boda anataka akuoe kabisa, kuliko huyo anayekuchezea kwa kukupeleka lodge
Wala hayuko hivyo, hanaga hizo tabia za kudate na bodaboda kwanzandio huyo rafiki yako
Kazi yetu ni kubalance natureKuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Babu na wewe unamuunga mkono kabisa kwenye hili?Nimewahi kutuma maombi ya kazi kwenye Ofisi 8 tofauti, lakini niliyoitwa interview ni Ofisi moja tu
Hujaelewa huu mfano, ama niongeze mwingine Mjukuu 🤗
Mwache Kijana ajaribu bahati yake
lakini kutongonzwa si huwa mnapenda,Wala hayuko hivyo, hanaga hizo tabia za kudate na bodaboda kwanza
Kabisa mkuu, na nyie huwa mnaendeshwa sana na hizoNyege mbaya sana
Anajua kama ni loose coin, je ulivaaje siku hiyo,Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.
Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.
Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.
Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF
Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Binafsi mimi sipendagilakini kutongonzwa si huwa mnapenda,
msipotongozwa napo shida
Alivaa gauni flani hivi siyo fupi la kawaida tuAnajua kama ni loose coin, je ulivaaje siku hiyo