Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

mpaka boda anakutongoza we ni malaya tu,ulikosa bwana wa kukufata,au kujaza mafuta,au taxi ,bolt,bajaj hata uende panda boda buku.
hapo kosa la boda ni nini wakati huyo ni cheap mwanamke tu
Hiyo boda ilikuwa ni bolt mkuu
 
Hapa wanaume wanzangu wataanza kupondea huyo bodaboda, ila deep down kanjanja.
Huwezi mlaumu bodanoda, sababu na yeye ana hisia na anaruhusiwa kutongoza.
Ni suala la kumkubalia au kumkataa, simple.
Maana sidhani kama kuna mtu hana mtu (wakiwepo ni wachahe), na wengine watafanya kwanza tathmini ndio akujibu kama ana mtu au lah.
Kabisa mkuu, siku hizi kila mtu ana mtu wake
 
Wake za watu wanatoumbwaje ilhali inajulikana kuwa huyu ni mke wa mtu!!

Na sisi waume za watu mnatutaka vipi ikiwa mnajua fika tuna wake zetu!!

Hisia zangu za kiume zikikutaka nakutongoza, ukinikubalia nakuweka, ukinitolea nje nasikitika napita hivi

Kutombaner kupo tu
 
Hiyo boda ilikuwa ni bolt mkuu
kwanini upande boda?kakudharau huyo anajua gharama zako ni 7000-10000 anakula mzigo.muwe na nyie mnajiheshimu kiasi.
mara ya mwisho kuhonga binti miaka 15 iliyopita ilikua elfu 30 na nilimpa sikuhonga kwasababu hata hakuomba
 
Yaani kupanda bolt ya boda ubane matumizi inaonekana thamani yako ni hiyo acha hizo fikra mkuu
 
Yaani kupanda bolt ya boda ubane matumizi inaonekana thamani yako ni hiyo acha hizo fikra mkuu
hapana mwana tuelewane tu,mi simpandishi boda bibi yangu anifate hapana.
akidondoshwa huko mtaani hata kitumbua ataleta kina mchanga,mara avunjwe mguu,au akakanyagwe huko na huyo boda pia. bado u.t.i hukosi humo.
ukitaka kula vitu vizuri virembwe kwanza,
hata kuku ukitaka kumchinja kilaini tu mpe mchele anaenda kibla mwenyewe
 
Mkuu sisi wanawake ni watu wa kubana matumizi kama hujajuq
 
Kuna rafiki yangu alinihadithiaga kuna alikuwa na appointment na shemeji sasa akarequest bolt ya bodaboda hadi hapo kwenye hiyo Lodge. Akaja boda akapanda hadi sehemu husika, akaachwa getini kabisa.

Sasa amekaa siku siyo nyingi anaona namba ngeni imempigia, akapokea akajitambulisha yeye ni yule boda aliyempeleka siku flani kule eneo flani, kama ana muda waongee, akamwambia atamcheki, akampotezea.

Baadae akampigia akamuuliza mbona hajamcheki akamwambia alikuwa bize, akaanza kumuuliza kama ameolewa, akamjibu tu kistaarabu hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano. Akamwambia dah! Nilikuwa nataka nijaribu bahati yangu.

Wanaume hamna nidhamu ya uoga, wala kujali afya zenu kabisa mtu umempeleka hadi Lodge na unajua kabisa kinachoenda kutendeka humo na bado unamtongoza, WTF

Cc. secretarybird
holoholo
Mshangazi dot com
Nomadix
Nusratt
Poor Brain
Mbaga Jr
Sijui nikuweke genge gani we binti
 
Utajua hujui. kua makini saana. Wanaume tunavisilani saana, huyo boda kama umemkera, hawezi ona shida kumpa namba rafiki ake mwenye gari ambae lazima utamkubali tu, unadhani wanaopigwa mitungo inakuaje?
Mimi sijamkera mkuu, sidhani kama kumkataa mtu ni kosa
 
Back
Top Bottom