Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,124
- 114,170
Mwanamke anaejiheshimu hawezi kuwa na muda wa kumsikiliza mtu mgeni kama huyo na tayari nia yake alishaijua, zima batani ya attention&response kama upo na mahusiano.
Sio kila mtu anastahili attention&response yako kwenye maisha, usumbufu mwingine huwa mnauruhusu wenyewe.
Mimi nikichukua namba nikakosa response sihangaiki hata pisi iwe kali vipi. Wengi mnajirahisisha sana mtaliwa na muachwe na kilio.