Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Ifike muda wanaume mjipende na kujiheshimu

Sasa unavosema wanaume tujiheshimu ulikua unamaana gani? una nini cha maana mpaka ukitongozwa na bodaboda unaona kama amekushushia heshima????????
😁😁😁sina cha maana, nisamehe kwa hiyo kauli mkuu
 
Mkuu sisi wanawake ni watu wa kubana matumizi kama hujajuq
Mi naelewa, ila wanawake karibia wote niliwai kuwa nao hawajawai kubana matumizi.
Kuna mmoja tulikula ada kabisa babaake kampa alipe shule tukaitafuna vizuri tu.
Ngoja nimtafute nimpe marejesho😁
 
Mi naelewa, ila wanawake karibia wote niliwai kuwa nao hawajawai kubana matumizi.
Kuna mmoja tulikula ada kabisa babaake kampa alipe shule tukaitafuna vizuri tu.
Ngoja nimtafute nimpe marejesho😁
Huyo alikuwa bado hajakua
 
Back
Top Bottom