I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

Namimi nimemmiss wiselady wajameni, naomba mnichangie tiketi ya alusha.
 
Usiwe na wasiwasi PJ lakin umekuwa mno kimya... by the way watu hapa walivyonicharukia lol kumbe kweli nimeamini wivu ni kitu mbaya sana! Pj really I miss you....
.
achana na Rocky,
achana na Fidel,

achana na asprin,
hao kazi yao kujaribu kuzamisha meli za wengine bila mafanikio.
imekula kwa wao mbaya kabisa.
 
.
achana na Rocky,
achana na Fidel,

achana na asprin,
hao kazi yao kujaribu kuzamisha meli za wengine bila mafanikio.
imekula kwa wao mbaya kabisa.

Yaani tunakuutetea hivyo halafu unatuponda
Ngoja nianze safari ya kufanya kweli
PJ utaona kama hutaambiwa i hate you PJ
 
.
achana na Rocky,
achana na Fidel,

achana na asprin,
hao kazi yao kujaribu kuzamisha meli za wengine bila mafanikio.
imekula kwa wao mbaya kabisa.

Asante kweli walinivunja moyo sana! hawapendi kuiona meli yetu baharini watafanya kila njia waifupishe safariiiiiii...
 
PJ mwambie Preta nimemsoma vilivyo....usiulize maswali mengi..lol halafu nyie SL na Rocky mnafikiri mie kipofu..
 
Back
Top Bottom