Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,056
- 45,841
Hatutaki wageni Arusha.
Tuacheni na Lema wetu.
Pipoooooz!!
Sred imeshachakachuliwa, salama fellow tablet?
Hatutaki wageni Arusha.
Tuacheni na Lema wetu.
Pipoooooz!!
Karibu lakn kwa sasa tuko busy na mipango na mikakati ya mapinduzi,......karibu sanaPJ,
What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet.
Send my regards to all JF member's in Ar..
Bye for now.....
Umemshitukia mapema sana siku hizi ni kujipromo mwenyewe tu hakuna kusubiri
Ngoja nikuanzishie threa "I miss you Fidel80"
Umemshitukia mapema sana siku hizi ni kujipromo mwenyewe tu hakuna kusubiri
Ngoja nikuanzishie threa "I miss you Fidel80"
Nachakachua siredi
Toka lini ukammiss Fidel badaya ya mimi
Nachakachua siredi
Toka lini ukammiss Fidel badaya ya mimi
Kwa kuangalia tu na vile unavyonifahamu naweza nikamiss Fidel kweli??? Nilikuwa nampa promo
Hahahaha mzazi tayari umesha umia hapo
Sitaki utaniharibia kwa wifi yako
Kwa kuangalia tu na vile unavyonifahamu naweza nikamiss Fidel kweli??? Nilikuwa nampa promo
Haya mambo ungemuachia AshaDii tu. Yule ndiyo huwa namkubali kwa hivi vitu vya kuanzisha thread na kujijibu. Wee unahangaika tu mkuu.
Naona umehamia kunyumba sio hapoHahahaha kwa hiyo huwezi nimiss njoo vile waikalaga munyumba sio
Yupi sasa yule wa manzese, Ilala, Magomeni, Kinondoni, Kimara aahhh wengi mno hata sijui yupi sasa
Hahahaha kwa hiyo huwezi nimiss njoo vile waikalaga munyumba sio
I realy miss you Fidel, namalizia kukusanya nauli. Ntakuja dar mwezi dec mpenzi...Hahahaha kwa hiyo huwezi nimiss njoo vile waikalaga munyumba sio
hata mimi nimepata mshangao wa mwaka toka lini ukammiss Fidel
Ila kapata promo ya ajabu hapo
Nyie hapo juu mnachakachua siredi banaWengine huwa nawasahau natongoza mara mbili mbili yupo humu wifi yako wa ukwee anajificha hapo Masaki kwa wasure
hata mimi nimepata mshangao wa mwaka toka lini ukammiss Fidel
Ila kapata promo ya ajabu hapo