I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

tete'a'tete

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
472
Reaction score
66
PJ,

What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet.

Send my regards to all JF member's in Ar..

Bye for now.....
 
Hatutaki wageni Arusha.

Tuacheni na Lema wetu.

Pipoooooz!!
 
Asprin,

Acha kuwa mchoyo mimi sina gharama kubwa huwa nakunywa savana dry tuu...usiogope sana..
 
si ungemtumia pm???afu waafrica hatuwaambiii waume za watu ' i miss you'.....
 
Tatizo la waafrika sisi...ukimwambia mtu I miss you wala haimaanishi kitu kibaya...tuelimike zaidi...
 
Mbona unachonga sana wewe subiri nikija huko tutaonana worry not...
 
PJ,

What I have said above is true and in reality I miss you. Please set your mind that; I will be coming to Arusha soon hopefully this December 2011 so that will meet.

Send my regards to all JF member's in Ar..

Bye for now.....

Unataka promo au?
Si ungemtumia PM tu inatosha
 
samahani,
ndo unakuja na hiyo ya d.cameroon,
au kuna mengine mkuu.
 
Si vile kama unavyodhani but I really miss PJ...msiwe na shaka kama upo Arusha tutaonana..hayo ya D. Cameroon hayahusu hapa...
 
Back
Top Bottom