I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

Dah! inabidi nilog out kidogo naenda mahakamani, kuna mzembe kaiba tairi ya trekta naenda kumwekea zamana
 
Duh hadi page ya tisa imeanza mie sipo tu...dah ngoja niache mazoezi nikeshe na PC sasa.
 
Sred imeshachakachuliwa, salama fellow tablet?
Hahahaa..... hili ni sredi la kumisiana.... na mimi nammisi sana Keren_Happuch. Kuna mtu anaweza kumtundika mimba? Namhitaji huku Martenity ward.

kumbe Ant-pain kwenu arachuga? Thalaam kwa anco Lema!
Hapana muzeiya........ mi ni mkulima wa Matikiti Maji na Matango maneo ya Boko-Bunju. Karibu kilimo kwanza.
 
ODM vipi tena mkuu hutaki tupate wageni?
Bado niko busy kujua jinsia yake mkuu. Aisee salimia yule akaunta pale picnic bana........nimepoteza namba zake za simu.

Tunakusubiri sana, karibu.
Ushajua jinsia yake? au wakaribisha tu? Stuka!

Somebody has dialled my number and told me that someone somewhere somehow is missing me!
Tete a tete mwaya, nipo best, achana na wachakachuzi wa sredi yako. Unakaribishwa sn Arusha. Usije hata na shiing mia, kila ki2 kitakuwa taken care of huku2!
Vp ile namba tulopeana ilifia kwenye mchina nini, maana haupatikani nayo tena.!
Dah! Mkuu ushajua jinsia yake?

Ni kweli kabisa maana sipendi kuusemea moyo ndetichia...I really miss PJ
Sounds lovely........

Usiwe na wasiwasi PJ wangu ile namba kweli mchina alifanya mambo ila usikonde wangu nitatakupm namba nyingine lakin umekuwa mno kimya do nini mimi tuu ndio nikumis wewe je? by the way watu hapa walivyonicharukia lol kumbe kweli nimeamini wivu ni kitu mbaya sana! Pj really I miss you....
Aisee!

Tehe teh tehe kwa kwa kwa kwa Lol Lovely....you fulfill my day!!!
Here we go! Concluded!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom