I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

PJ mwambie Preta nimemsoma vilivyo....usiulize maswali mengi..lol halafu nyie SL na Rocky mnafikiri mie kipofu..

Habari yako kaka
Si nimesikia uko tanga nguo zimelowekwa kwenye maji
Namsalimia tuu SL wala sijasema kitu
 
Halaf wewe nilitegemea utajitolea mchango mwengine wala sio wa hela! umeanza uchoyo ujue, nitahairisha trip? ohoooo!
Hahaha! Hiyo hela ni katika kukuweze ufike Alusha...huo mchango mwengine ngoja kwanza niwasiliane na mwanasheria wangu afu ntakujibu.
 
Hahaha! Hiyo hela ni katika kukuweze ufike Alusha...huo mchango mwengine ngoja kwanza niwasiliane na mwanasheria wangu afu ntakujibu.
Mwanasheria wako si ni mimi, au una mwanasheria small hauz pia?
 
Back
Top Bottom