I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

Jamaa wamekipaka umeiba dawa ya mswaki getto, halaf wameshika bango mbaya, kama uliondoka nayo kweli kamanda iludishe, jamaa wanaonekana wako kwenye mood ya kujeruhi
Kamanda tatizo mtu biashara zako ukiwa unafanya kwa pound wabongo hawaishi kukupakazia tu
 
pamoja na hilo kwenye red, Nadhani alimaanisha wanaJF arusha(JF makao makuu) nao wapate ujumbe kupitia huu uzi. ili wajiandae kwa ukaribisho maana nawasikia kwa ukarimu wamezidi mategemeo - (beyond expectations) kwa lugha ya kidhungu


Unataka promo au?
Si ungemtumia PM tu inatosha
 
iko kupa wewe pole...taka jua nani haribia wewe mudi yako leo, hapana kosa raha ndani ya JF...home of Great Thinkers.

napita sina raha leo mkinionea mzee mpweke mahali mnishtue
 
Back
Top Bottom