I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

I really Miss you PJ ( Pakajimmy)

Nimefika nikakupigia hupokei, nimetuma sms umeuchuna, hiyo dhambi hautasamehewa milele... Kunifanya nizunguke na baibo ndio nini sasa?
Halaf sweetlady kwa kujipaisha bana, last time si ulinambia nipige sim ya jirani yako wewe bado hauna sim?
 
vingunguti machinjoni eeh! Dah. Sijui nimjengee kakibanda masaki. Lol.
Huko, huko. Ongea na my shemeji uporoto kama atakubali mjengeeni kakibanda. Biashara ya kuuza maji ngumu ati atawezea wapi kujenga!
 
Huko, huko. Ongea na my shemeji uporoto kama atakubali mjengeeni kakibanda. Biashara ya kuuza maji ngumu ati atawezea wapi kujenga!

kweli aisee. Una akili ndio maana ulifaulu chekechea.
 
Back
Top Bottom