Siku hizi jf hapa watu wanapenda sana promo kama mapedeshee akina Ndama, Msofe au wabunge wa CCM kwa promo usiwapimie anatoa msaada laki moja anaita waandishi wa habari
I realy miss you Fidel, namalizia kukusanya nauli. Ntakuja dar mwezi dec mpenzi...
ODM vipi tena mkuu hutaki tupate wageni?Hatutaki wageni Arusha.
Tuacheni na Lema wetu.
Pipoooooz!!
Si unajua tena huyo mzee wa manzese darajani lazima tumpe promo kidogo
I realy miss you Fidel, namalizia kukusanya nauli. Ntakuja dar mwezi dec mpenzi...
Wewe mwana wewe leo umewamiss wangapi toka asubuhi naanza na Rejao
Hahahaha! Nitafutie na chuo kidogo cha sala box 2... Mwambie wifi kumisiana inaruhusiwa bana.Jamani jamani mnaniharibia kwa wifi yenu mnataka ninyimwe unyumba?? hapa tayari nina kesi ya kujibu
Karibu sana mama mchungaji nimekuandalia biblia box zima uzisome
Ngoja tumwambie kwa sauti asikie na majirani zake wasikie
Fidel kuna mtu kakumiss huku njoo fasta
Hahahaha! Nitafutie na chuo kidogo cha sala box 2... Mwambie wifi kumisiana inaruhusiwa bana.
Hahaha. Dena unaniharibia kwa Fidel, mie sijaingia jf leo kabisa na hapa nimeingia kumpa fidel ujumbe then ntaondoka mda sio mrefu..lol.Wewe mwana wewe leo umewamiss wangapi toka asubuhi naanza na Rejao
Tunakusubiri sana, karibu.Si vile kama unavyodhani but I really miss PJ...msiwe na shaka kama upo Arusha tutaonana..hayo ya D. Cameroon hayahusu hapa...
Kuna mtu kamiss mazimaaaaaa hapo juu umemsoma SL
Hahaha! TF mwondoe keshawekwa kinyumba na jimama la Tanga..Mr Rocky
TF
Hahaha. Dena unaniharibia kwa Fidel, mie sijaingia jf leo kabisa na hapa nimeingia kumpa fidel ujumbe then ntaondoka mda sio mrefu..lol.
Nani kakupa ruhusa ya kumjibia PJ?Tunakusubiri sana, karibu.
Ole wake katekisimu yetu ikosekane, si anajifanya mjanja leo kuniita mama mchungaji...Aongeze na Misale ya Waumini na shajala ndo muda wake wakutoka sasa
Si unajua tena huyo mzee wa manzese darajani lazima tumpe promo kidogo
Mhhhhhh...............lol
Hahahaha! Nitafutie na chuo kidogo cha sala box 2... Mwambie wifi kumisiana inaruhusiwa bana.