Huyu Johnthebaptist Yuko Wapi?

Isije kuwa kesha ingia kwenye orodha mpya ya watekwaji tu?Kwani vibakora bado tunatembeatembea!Jo popote ulipo fanya kama unajikuna tukuone tafadhali!
Yule si alikuwa jembe&nyundo kindakindaki
Isije tu lbda ile Oct alisema akashangae ndiyo yakamkuta....
Zaidi ya hapo labda kajichimbia tu

Ova
 
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.

Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.



johnthebaptist
Assignment aliyopewa ameikamilisha yupo hapa ofisini anaandaa ripoti ili awasilishe huko juu kwa wakubwa.
 
Yule si alikuwa jembe&nyundo kindakindaki
Isije tu lbda ile Oct alisema akashangae ndiyo yakamkuta....
Zaidi ya hapo labda kajichimbia tu

Ova
Yupo rafiki yake P,aseme neno tujue alipo Johnthebaptist
 
Umemaliza kila kitu.

Uzi ufungwe.


Cc Smart911
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…