GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,689
- 18,032
Umri mkuu.Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Labda wadunguaji walimpitiaHuyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Mmmmh🤔🤔🤔Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF
Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar
Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu
Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF
Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Ya Mungu mengiHuyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
huenda ni changamoto anapambana nazo au mabadiliko ya kawaida tu kimasha amefanya kuhusu mitandaoni ya kijamii ikiwa ni pamoja na jf 🐒Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Kwa mtu alizoea JF, angekuwa anachangia hata mara moja moja.Umri mkuu.
Umri ukifika mambo mengi unaona ni utoto hasa kujibishana hapa JF
Hata mitoko inapungua inafika muda hata vinywaji unakunywa nyumbani na familia badala ya bar
Kila kitu na wakati wake yawezekana amefika maturity age ni umri wa kujitambua unajikuta unathamini familia zaidi kuliko marafiki na hata kuandika unaona uvivu unaishia kusoma tu
Jamaa atakuwa ana spend muda na familia yake sana kuliko kuchart hapa JF
Unanifananisha mimi John.!For some reasons unayemtafuta huwa nakufananisha nae
Toka jf imefungiwa hajawahi kuingia humu tena. Na kutokana story zake inaonekana ni muhenga, hivyo huenda hajui kuwa ukitumia VPN unaingia humu, ama huenda akawa amefariki pia kwa sababu mbalimbali ikiwemo mo29.Huyu MwanaJF yuko wapi ni muda sasa hajaonekana hapa jukwaani.
Nimeona reply yake ya mwisho ni mwezi wa tisa mwaka jana.
Kabla ya uchaguzi.
johnthebaptist
Unanifananisha mimi John.!
Niombe radhi mkuu.
Sio kwamba hana hadhi,Hana hadhi ya kufananishwa na wewe sio?
Basi mkuu nakufananishaga naeSio kwamba hana hadhi,
Kwa jinsi alivyokuwa anajitoa akili, na nyuzi zake za kuuzi.
Unanifananisha nae kwa vitu gani.?Basi mkuu nakufananishaga nae