Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV inaweza sitishwa na Marekani. Je, Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Mr Nyau

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,128
2,337
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.

Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali

Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?

275baf6093ad4ca2a9bfb7ae5974cfdf.jpg
 
Watanzania hawana sababu ya kukandamiza ARV, kuna Mtanzania anaitwa Msigwa siku nyingi sana kavumbuwa dawa ya Ukimwi, imawasaidia wengi sana tena sana. Nawashangaa wanaofakamia ma ARV.

Yupo Youtube na hata hapa JF tuliwahi kumleta miaka mingi sana nyuma.
 
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.

Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali

Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?

View attachment 2687223
Gharama haiwezi kufikia bei hiyo ata serikali wangeshindwa kununua hizo dawa
 
Viongozi wengi WA Dunia ya tatu wana ujinga mwingi Sana ,

miaka yote Wanapokea misaada ya ARv wameshindwa kuanzisha ata kiwanda bubu
kama kuelewa maandishi ya kimikataba ni ishu kubwa kuelewa haya yanayohitaji tafiti na kuumiza kichwa itakuwaje
 
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.

Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali

Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?

View attachment 2687223
Waisit8she tu ili wagonjwa wapungue, wanatuulia binti zetu na baba zetu maana anakunywa anapendeza wazee wenye mipesa wakimwona wanauza mechi, vibintiviasthirika huwa havitembei na chupi

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
😅😅😅 ila kwenye suala la kuuza mechi mwanamke akiamua kukuuzisha mechi ni vidume wachache sana wanaweza kukataa mtego huo wengi hushtuka pale washamwagia ndani
 
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.

Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali

Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?

View attachment 2687223
We jamaa una Virusi Vya Ukimwi (HIV)wasiwasi wako huna imani na serikali ya ccm endapo ikitokea Marekani kasitisha msaada wake, na mtakufa kweli kweli.
 
Serikali hainunui ni msaada kwa hisani ya watu wa USA ndio maana ameuliza serikali imejipangaje endapo watasitisha msaada huo.
Hakuna cha bure ndugu yangu neno msaada ni mkopo ambao riba yake ni ndogo ni kama mkopo huu wa covid mama aliochukua benk ya dunia
 
Huwenda miaka ijayo, misaada ya ARV unaweza sitishwa na marekani. Je Tanzania imejipanga vipi na suala hilo?

Nimekaa nikatafakari sana, huenda miaka ijayo misaada inayotolewa na marekani hasa dawa za kufubaza hawa virusi vya vinavyosambabisha UKIMWI.

Kutokana na hali hii marekani atabaki kuwa sehemu ya kutumia silaha hii kukandamiza na kufanya mataifa mengi kuwa tegemezi kwake..
Swali

Wizara ya afya na wadau mbalimbali mmejipanga vipi hali hiyo ikitokea? Mmeshafikiria njia mbadala ya kutengeneza dawa pia?

View attachment 2687223
Hizi gharama ni kwa aina ipi ya DAWA/REGIMEN !!!???
 
Back
Top Bottom