igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,598
- 3,356
Tuwekee na wewe ushahidi kwamba yeyote anaweza kutibiwa, mfano tumezoea kuona Picha mbalimbali za MOI, JKHI, Mloganzila Hospitals na nyinginezo zikionyesha watu wanapata matibabu, ila hiyo wala sijawahi kuona..Uongo gani sasa? Ile ni hospital ya umma acha kuwa zwazwa! Ulishawahi kuugua ukaenda pale ukafukuzwa…? Ama ni nani unayemfahamu alishawahi kwenda pale akafukuzwa kama una ushahidi weka hapa…!
Wewe ukiugua nenda hapo kama hutotibiwa uje ulete mrejesho…
Acha kuleta stori za vijiwe vya kahawa hapa..!
Kuhusu viongozi kutibiwa kwa vibali maalum, mbona zipo hospital nyingi tu zenye utaratibu wa namna hiyo…!