Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 722
- 1,147
Hata mimi nimem mind kinoma Mvula. Nimgekua na cha kumchangia mwana ningempa hata hela ya bisibisi tu. Ila shemeji yetu naye anazingua mwambie amwacheHuyo mvula jamaaa ana screenshots zake zote na by then jamaa alihack namba za mkewe jamaa huwezi jua kama hio ishu anayo kichwani, anaendelea na maisha yake anasema anasubiria muda sahihi na sehemu sahihi