Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,018
- 26,330
Acha undezi wewe mwanamke hakuhusu unavaa kibwebwe.Sio mke wangu mke wa mwanetu, lengo ilikuwa kumjulisha na wadau zake namna ya kumfikia imeshajulikana
Acha mwenye mke apambane nae.
Kuna Mambo mtu hustahili hata kujishughulisha nayo moja wapo Ni hili