Hongera JamiiForums, Sauti yenu Imefika Wizara ya Elimu kuhusu Watoto kutokufunga Shule Likizo

Shule ilikua sehemu nzuri sana ya socialization na skill building na sio kukaririshwa.
Tulikua na nyakati za kucheza, kufurahi, kusali na kusoma!

Elimu ya Tanzania inajenga kaburi kubwa sana kwa future ya Watoto wetu

Inaua creativity, kwa mfano, kwanini shule zinunue mboga za majani wakati wangeweza kuwa na bustani za mchicha, tembele etc? Huyu mtoto hajui hata spinach kama inapandwa au inachimbwa.

What a shame?
Umeongea sahihi sisi shule ya msingi ilikuwani mchepuo wa kilimo enzi hizo hadi darasa la Nne nilikuwa najua kilimo cha pamba vizuri kuanzia uaandaaji wa shamba kuweka mbolea kun`golea kuvuna na hata kuichambua NK kwenye bustani pia vivyo hivyo hadi kuanda mbolea ya mboji ingawa si mkulima mkubwa lakini hii elimu inanisaidia mpaka leo lakini baada ya Mwinyi masomo ya sayansi kimu na kilimo yalifutwa
 
Hao wanaodhibiti ubora wa Elimu nao hawajitambui Yan unaomba maelezo wakati unatakiwa kushusha rungu.

Afya ya akili kwa mtoto n muhimu hvyo kupumzika kwa maana ya likizo b muhimu Sana saiv watoto walitakiwa kubaki nyumban kulala mpaka saa moja, kufanya Kaz za nyumbani, kwenda sokoni kuangalia manunuzu yanafanyikaje, kusafiri na kujifunza Mambo na tararibu zingine za nyumbani
 
Mitandao ina nguvu sana, hili jambo hayat anko magu analijua vizuri sana
 
Si mu mtie kwenye kiroba. If he can breed..he can die.
Mwanetu mtu peace sana ila anaumafia wa kisiri mno na hanaga msamaha tunamsukuma iwe wazi yeye mbishi sana. Daah sijui mwamba kapanga nini cha kufanya huko Dodoma.
 
Mwanetu mtu peace sana ila anaumafia wa kisiri mno na hanaga msamaha tunamsukuma iwe wazi yeye mbishi sana. Daah sijui mwamba kapanga nini cha kufanya huko Dodoma.
Kesi kama hizi zina matokeo mabaya sana,kifo nje nje, hakuna mnyonge anayekubali kuchapiwa kirahisi. Mbaya zaidi mtuhumiwa sio mwerevu,alipopigiwa simu angesitisha mawasiliano mara moja,maana kitumbua kinakuwa kimeingia mchanga tayari.
Ashukuru huyo jamaa ni mstaarabu amempa na onyo kabisa,wengine muda huo hawana kabisa, anakumaliza kimya kimya.
 
Huo ndo ukweli Mimi hata Yale magroup ya wazazi wa watoto mashuleni sijiungagi kabisa, make humo kwenye magroup kuna wazazi mpaka kero endapo utaenda kunyume na mipango ya shule wao ndo matajiri, wanaojua maana ya elimu, wanaojua malezi, kero tupu, Kwa sasa imekuwa kawaida drs la 4, 6 na 7 kupewa maprogram ya ajabu ajabu Kwa kisingizio cha kujiandaa na mitihani na mwisho siku matokeo hayatimofautiani saana na shule za serikali. Zaidi tunaambulia kiingereza Tu. Watoto waruhusiwe kufunga shule wajifunze mambo mengine ya nyumbani, Mtoto ajufunze hata kufuga kuku, siyo kila siku homework akiachana na issue za shule kidogo ni remote ya TV, big noo
Umenena vyema.
 
Naamini hakuna jambo lolote linaweza kufanya na uongozi wa shule bila makubaliano kati ya walimu na wazazi.
na makubaliano hayo yanafanyika kwa masilahi ya watoto sio walimu.
kwa madarasa ya mitahani ya Taifa kama darasa la saba na darasa la nne huwa wanafundishwa tution ili kujiandaa na imekuwa ikifanyika hivyo kwa miaka mingi, sasa kulikoni sasa?!?
miaka yote utaratibu huo umekuwapo na wazazi wengi wameona faida kwa watoto wao na hivyo wameendelea na utaratibu huo kwa ridhaa yao.
kama kuna maelekezo ya wizara basi yatolowe kwa nia ya kujenga sio kubomoa.
 
Mimi nimelipishwa 15000 KWA wiki tatu za likizo, wiki ya nne watakuwa nyumbani. Wanaingia saa mbili asubuhi wanatoka saa sita mchana. Wazazi tulikubaliana suala hili kupitia kikao rasmi . Suala hili Linasaidia sana kwani mtoto anapata muda wa kusoma nusu siku na kuendelea na mapumziko na sio siku nzima anazurula tu au anakaa kucheza PS 5.
 
Wadau huyu Mathias I Mvula anamawasiliano ya kimapenzi na mke wa rafiki yangu tunamtafuta kwa yeyote aliepo Dodoma tafadhari mpaka alishawahi pigiwa simu kuonywa na bado akaendelea yakihitajika na mengine tutayafikisha kwawaziri husika huyu mwanamke yupo morogoro shule za manispaa, aliwahi kumfundisha Ilonga chuo cha walimu kilosa. Popote ulipo Mathias I Mvula ujipange haswaa kwa hilo.
JF rahaa sana!!haya Mr Mvula Kama umesikia jipange huko!
 
Hao wanaodhibiti ubora wa Elimu nao hawajitambui Yan unaomba maelezo wakati unatakiwa kushusha rungu.

Afya ya akili kwa mtoto n muhimu hvyo kupumzika kwa maana ya likizo b muhimu Sana saiv watoto walitakiwa kubaki nyumban kulala mpaka saa moja, kufanya Kaz za nyumbani, kwenda sokoni kuangalia manunuzu yanafanyikaje, kusafiri na kujifunza Mambo na tararibu zingine za nyumbani
Wenye kuona mbali wamegundua mbinu hizo zina madhara makubwa zaidi kwa mtoto hapo baadae kuliko faida ya ufaulu mitihani ya kitaifa. "Fatigue kills faster than pride/ego!"
 
Mimi nimelipishwa 15000 KWA wiki tatu za likizo, wiki ya nne watakuwa nyumbani. Wanaingia saa mbili asubuhi wanatoka saa sita mchana. Wazazi tulikubaliana suala hili kupitia kikao rasmi . Suala hili Linasaidia sana kwani mtoto anapata muda wa kusoma nusu siku na kuendelea na mapumziko na sio siku nzima anazurula tu au anakaa kucheza PS 5.
Una maanisha umeshindwa kumlea mwanao.
 
Tunakosa hata muda wa kuwafundisha mambo mengine ya muhimu zaidi ya kukaririshwa huko mashuleni.

Kwa kweli Tz kungekuwa na homeschooling ningemfundisha mwanangu mwenyewe nyumbani huko shule aende kufanya mitihani tu.. shule za siku hizi hazina activities za kuwachangamsha watoto ni kutizama madaftari kuanzia saa 2 mpaka 9 hawainui hata migongo, enzi zetu shule haikuwa about vitabu pekee
Kwa kweli homeschooling haikubainishwa vema kwenye sera ya elimu. Rejea Homeschooling in Tanzania . Hata hivyo ziko bado njia mbadala za kufanya homeschooling, ambazo baadhi ya wazazi huzitumia hapahapa Tanzania.
Taratibu zozote za kubakiza watoto shule, zina lengo moja tu la kutengeneza pesa huku wakisingizia kuwa wana nia nzuri ya kuwaanda wanafunzi kitaaluma.
Maslahi duni kwenye shule nyingi za binafsi, na mazingira hafifu ya kufanyia kazi, hufanya baadhi ya shule kuanzisha "programu" kama njia mojawapo ya kuongeza kipato ama kutoka kwa wazazi moja kwa moja, au kutoka kwa mkurugenzi/mmiliki wa shule.
Jamani kuna shule standard six wameingia boarding likizo hii

Maandalizi ya kuingia class 7
Unakuta shule imeandikishwa ya kutwa na ya bweni. Lakini likifika darasa la mitihani, wanaweka shuruti ya bweni kwa wanafunzi wote. Na hasa shule ikiwa imejenga mabweni mapya (kwa kukopa?), ndio kabisa...
Wanachoka sana, hizi shule haziwajengi watoto kuwa Na uwezo wa kujitegemea. Tunaua vipaji vingi sana
Ni psychological massacre! Pana rejea nilipata kuiona mahali, nikiipata nitaishea, kama naikumbuka sawasawa, ilikuwa inasema kiwango cha "Adversity Quotient" kwa wanafunzi wa Tanzania kiko decimated na kwenda shule. It is a tragedy!
Elimu iliondoka pamoja na mkoloni sisi tulibaki na majengo. Na ndo maana shule nyingi zinajitahidi kuvutia kwenye majengo, na siyo kuyathamini maslahi ya wale wanaoyapa hadhi majengo hayo yaani, walimu, wanafunzi, na watumishi wengine katika majengo hayo(walinzi, walezi,wapishi, chura, n.k).
Hatari. Unakuta shule inafanya maamuzi ambayo ni detrimental to the child growth, particularly, growth of his/her mind.
Naamini hakuna jambo lolote linaweza kufanya na uongozi wa shule bila makubaliano kati ya walimu na wazazi.
na makubaliano hayo yanafanyika kwa masilahi ya watoto sio walimu.
kwa madarasa ya mitahani ya Taifa kama darasa la saba na darasa la nne huwa wanafundishwa tution ili kujiandaa na imekuwa ikifanyika hivyo kwa miaka mingi, sasa kulikoni sasa?!?
miaka yote utaratibu huo umekuwapo na wazazi wengi wameona faida kwa watoto wao na hivyo wameendelea na utaratibu huo kwa ridhaa yao.
kama kuna maelekezo ya wizara basi yatolowe kwa nia ya kujenga sio kubomoa.
Siungi mkono hoja.
Too much work , no play makes Jack a dull boy.
Exactly. Mamlaka husika zilipata kusemekana kutoa Waraka wa Elimu Na 4 na Waraka wa Elimu Na 5 miaka miwili mitatu iliyopita. Nyaraka hizo zilikuwa zinaondosha mapungufu mengi kwenye sekta ya elimu. Zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii. Na haikuchukua muda zikakanushwa kwamba siyo taarifa rasmi. Mamlaka zikitaka kuboresha elimu, ziasili zile nyaraka namba 4 na 5 zilizokanushwa na kuzifanya kuwa zake, ili kuimarisha sekta ya elimu Tanzania.
 
...

Wanafunzi sio empty Jars waliondaa mitaala wana akili na walijua kuwa mwanafunzi sio masomo tu.

...
Mwandishi mashuhuri Tanzania, Shaaban Robert, alipata kuandika kwenye kitabu cha Kufikirika, juu ya kutolewa kwa elimu bila kucheza wala kupumzika, na madhara yaliyotukia...
 
Kesi kama hizi zina matokeo mabaya sana,kifo nje nje, hakuna mnyonge anayekubali kuchapiwa kirahisi. Mbaya zaidi mtuhumiwa sio mwerevu,alipopigiwa simu angesitisha mawasiliano mara moja,maana kitumbua kinakuwa kimeingia mchanga tayari.
Ashukuru huyo jamaa ni mstaarabu amempa na onyo kabisa,wengine muda huo hawana kabisa, anakumaliza kimya kimya.

Huyo mvula jamaaa ana screenshots zake zote na by then jamaa alihack namba za mkewe jamaa huwezi jua kama hio ishu anayo kichwani, anaendelea na maisha yake anasema anasubiria muda sahihi na sehemu sahihi
 
Back
Top Bottom