Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,031
- 760
Siku hiz watoto wanakuwa trained. Hakuna malezi wala makuzi... Wanakuwa trained kufaulu kama mbwa tu anavokuwa trained kulinda.... Mbwa anawajua wanafamilia tu....
Kadhalika mtoto anawajua wanafamilia tu..... Kwa kuwa a nakosa muda wa kumtembelea ndg wengine.
Mtoto inabid akue katk nyanja Hizi...
1.kiakili
2.kimwili
3.kiroho
4.kijamii
Hapo 3 na 4 muda mzur ni wa likizo... Sasa wakat WA likizo bado yupo kwenye 1.
Mtoto la 3 anaenda shule j3 Mpka jmos na likizo pia...
Mbona hawa walimu wanafanya mtihan wa taifa kuwa kitu cha ajabu Sana.
Yasaidia nn mtoto kupata A zote afu Hana hifu ya Mungu wala hajui jamii ikoje.... Anajua karatas tu.... Shiit.
Madhara yake ndo hawa matapeli wa kwenye mitandao Kwan amelelewa na elimu ya darasa tu hajui kujimix mitaan