Waziri wa Elimu: Kwanini shule ya Malaika wa Matumaini, Manispaa ya Singida wafungue shule tofauti na muda ulioelekezwa na wizara?

Jerusalem city

Senior Member
Jan 15, 2021
104
123
WIZARA ilitoa maelekezo ya tarehe ya kufungua shule ambayo ni 8-1-2024 Kwa shule zote Tanzania, tofauti na maelekezo ya WIZARA yako, UONGOZI wa shule ya MALAIKA WA MATUMAINI-manispaa ya Singida imelazimisha wazazi kuwapeleka shule wanafunzi wa Drs la saba trh 3-1-2024 Tofauti na maelekezo ya WIZARA yako.

Je, wao wako juu ya maelekezo ya WIZARA yako ukizingatia ata muda wa kufunga walichelewa kufanya hivyo.

Je, watoto hawaitaji kupata muda wa kupumzika kadri ya utaratibu na maelekezo yaWIZARA yako?
 
Back
Top Bottom