Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Elimu ni ufunguo wa maisha ila hapo ufunguo umekua kifungo
 
nikupe dokezo tuu.kati yawatu 1000 wanao ombewa matatizo yao na mwamposa ni watano tuu au mmoja ndio wanao pona.kwanini wasipone wote Kama ananguvu za kuponya?
Wote wanapona isipokuwa ni wachache wanaorudi kutoa shuhuda.
 
Mtaishia kubishana quran na yesu wakati mada yenyewe imetungwa hii. Sijui kwanini mnapenda kulumbana juu ya hizi dini mbili mlizoletewa na wakoloni. Wazungu na waarabu ni watu wa kulaumiwa sana kwenye hili, wamepumbaza akili zetu sana.
Bora wewe unanijua ki undani zaidi, tulitunga wote[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
kwa kuwa mmeanza maombi, atapona kabisa! msiache
 
mtumeee, kwa hio dada yetu hapa kwa mujibu wako amefanya ushirikina?? shirki hapo inakujaje??
Naam amemuendea mshirikina kumueleza shida yake na akapatiwa suluhisho na tizama alivyoamini, sisi waislamu tuna mipaka yetu haturuhusiwi kwenda wa wapiga ramli wala waganga wa kienyeji kwasababu wao wanatuzidishia tu maangamivu, unaweza ukapona tatizo la kuzimia halafu ukarithi ususuwavu wa moyo na kuamini mizimu na wachawi, bali huenda binti akasema kwasababu nimepata msaada huko basi na mimi namfuata, basi zingatia changamoto ya mwanzo ya kiwiliwili tu kisha zingatia balaa kubwa la moyo baada ya kupona.
 
kwa nijuavyo mimi, ushirikina ni ile hali yakumshirikisha Mungu na miungu isokua Mungu, ndio kama hivo kuabudu mizimu, n.k au kuabudu kitu nakukifanya ndie mungu sasa huyu hata ramli hajatazamia wametumia maji na mafuta and then boom mtoto katapika ufunguo
Okay, ushirikina pia huweza kuwa kuwaomba asiekuwa allah kwenye yale yasiyofaa kuombwa isipokuwa allah pekee, hauwazi inakuwaje mtu anashika maji huku anatizama TV kisha anapata athari, hauwazi mara mbili?.
 
ndio hua najiuliza mengi hata hilo inauaje ikawa hivo
 
Back
Top Bottom