Unakuwa na mtoto haelewi shule,anaumwa anasumbua kumbe Kuna mwamba yupo na remote yake anacontrol gameWatu wako serious na wanachokifanya. Sasa mtoto mdogo kama huyo, wanaanza kumnyoosha. Dah
mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for funYaani tumejioneo si adithi
Ahsante,maji tulinnua hayo yaliyoombewa siku saba ndiyo anayotumia kunywa, ya kumwaga na home tu,,,sasa anasema kila akimwaga maji anahisi ndani kuna nyoka mkubwa sana mwenye rangi nyeupe lkn tutamuona akiwa kafa,Uwepo wa mungu ni mkubwa...
Familia nzima inawapaswa kufanya maombi sana na kuendelea kutumia hayo mafuta kwa kunyunyiza(kumwaga) pande zote za nyumba hata hayo maji pia na kuongeza imani kwanye maombi huenda anaefanya hayo maovu hatokei mbali na familia yenu..
Poleni sana.
Nani akiwa kafa? Nyoka sioAhsante,maji tulinnua hayo yaliyoombewa siku saba ndiyo anayotumia kunywa, ya kumwaga na home tu,,,sasa anasema kila akimwaga maji anahisi ndani kuna nyoka mkubwa sana mwenye rangi nyeupe lkn tutamuona akiwa kafa,
Hatimayee🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante,maji tulinnua hayo yaliyoombewa siku saba ndiyo anayotumia kunywa, ya kumwaga na home tu,,,sasa anasema kila akimwaga maji anahisi ndani kuna nyoka mkubwa sana mwenye rangi nyeupe lkn tutamuona akiwa kafa,
Hadi wewe ni muathirika wa haya kweli amepona ila kaipoteza rohoMwamposa...... Glory to Jesus
Ubaya ni kwamba, vinaingizwa kimazingara, ila vinatokea kooni. Dogo wanamtesa kinoma 😥kwamba havijatoka vyote dah mtoto anateseka maskini kawakosea nn waja?? Mungu atunusuru nanvizaz vyetu
Eeeeh Poleni,Ila atapona kabisa,Kwa Yesu hakuna linaloshindikanaAhsante,maji tulinnua hayo yaliyoombewa siku saba ndiyo anayotumia kunywa, ya kumwaga na home tu,,,sasa anasema kila akimwaga maji anahisi ndani kuna nyoka mkubwa sana mwenye rangi nyeupe lkn tutamuona akiwa kafa,