Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

kivipi wakati wewe ndie shetani
Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa 😔🤐

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
 
We bwana hebu elezea vizuri,unaleta utata
 
Ni ajabu ukistaajabu hayo mambo lkn ukifahamu kuwa binadamu tumeumbwa na chuki iliyojaa vinyongo lazima utamkumbuka mungu na kumshirikisha katika kila hatua na matendo yako maishani...Huyo ni mtu mbaya sana anaewatendea hayo inabidi muongeze maombi sana na kuzidisha imani kuwa mungu yupo pamoja na nyinyi mkabizi hizo shida na mateso kwake na yatakwisha..
Amen
 
Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa 😔🤐

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
maarifa nayapataje nijuze nielewe
 
IN A SERIOU MOOD SASA KWA NINAVYOELEWA KWENYE KUKUA KWANGU.
Hiyo inaitwa JICHO BAYA. kama umepata mtu anakupa hayo mafuta na unaombea well and good endelea
Ila zipo sala za kuomba kwa waislamu zpo kwenye quran.

Kwa wakristo huwa wanasema mtoto kabl ya arobaini asishikwe au asikutane na watu au ndugu asiowafahamu. Hitimisho huwa kubatizwa baada ya siku arobaini kumkinga na jicho baya.

Jicho baya huletwa au hujulikana kwasababu moja wapo kama hyo kutapika funguo.

Mtoto kupata homa kila akitibiwa hajulikani anaumwa nini. Kwa sasa muendelee kumuombea, sala mbali mbali. Kwa msaada wa wazee wanaoifahamu dini, masheikh, mapadri, wachungaji, manabii. Itatoka. Poleni.
 
Halafu yanatokea mapumbavu yaliyo laaniwa yanamdis MWAMPOSA...
ONDOA SHAKA NDUG YANGU MTOTO AMEPONA KABISA, HONGERA MUNGU AMEPONYA MTOTO KUPITIA MAJI NA MAFUTA YA MWAMPOSA... Narudia tena mtoto amepona sasa yupo huru hataumwa tena na atafaulu kwa jina la YESU... Mungu ni mwema
Amen
 
Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa 😔🤐

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
Peleka upuuzi wako na ushwetwani wako huko.

Muda mwingine ni bora kukiri bila maarifa kilichokuletea unafuu na uponyaji kuliko kukiri ukiwa na maarifa huku ukiwa kwenye mateso makali na hatimaye kifo.

Imani yake imemponya.
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13,kidato cha kwanza,

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha,

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka,,,,,,tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi,

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena,

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena,

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi!!!,

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya,,,,,,,,,,,,.

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike,

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi,

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena??

View attachment 2538649View attachment 2538650
Poleni sana endeleeni na maombi lakini hapo uponyaji tayari kwa asilimia 90
 
Back
Top Bottom