Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Kuna mzazi mmoja au wote wa huyo mtoto sio mwaminifu au hakuwa mwaminifu.
Anzeni naye kumuweka Sawa.

I) Aidha ni mshirikina au mlozi
ii) au kafanya dhulma
Watoto mara nyingi(sio zote) hukutwa na mabalaa hayo Kutokana na Wazazi wao.

Ulinzi WA mtoto unategemea zaidi wazazi(kinga ya wazazi) Watoto hawanaga kinga.
Kinga Yao inategemea Imani za wazazi wao zipo wwa
Sisi wanaharamu tuliozaliwa na kutekekezwa tunacomment vipi hapo
Tanzania hakuna ukoo usio na mchawi
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650

Haya mambo ya Mwamposa ya kutapika (wakati nyie hampo wala hamuoni) Ni hadithi za Alinacha....

Sometimes Mama zetu ni wachawi, ila sababu tunawapenda hatuangalio huko, na kuna ndugu zetu wanatumikishwa.

Laiti tungefunguka kuona mambo wafu wetu wa Karibu wanafanya tungeelewa vitu vingi sana havina maana kwa kweli.
 
Aisee
 
Na braza ni marehemu alinifia hospital alipigwa ububu na hali ya ukichaa akiwa na miaka 3.
Wazazi hawakuwa na elimu ya kutosha kuhusu ulimwengu wa ROHO tumekuja gundua hivi karibuni. My first born ana miaka 3,tukachungulia kwenye ulimwengu wa ROHO akataka kuvamiwa na ile roho ya my dead brother ilikuwa ikizunguka in spirits nikasema " pumbavu zenu hamuwezi kitu elimu ninayo ya kutosha Hakuna kuonewa tena na wapumbavu" nikazama kwenye maombi, kuwashirikisha wachungaji na kutoa sadaka kwa ajili ya hilo. Aisee tuliifukuzia mbali kabisa hio roho, mtoto yupo safi mzima kabisa.
Pana siku sista anasema aliota my yule dead brother alimtokea kwenye ndoto akamwambia " mbona mnanitesa" nikasema shughuli yake wameipata wapumbavu hao.
Mganga na mchawi ni kampuni moja majina tofauti na wanapigana biti. Mchawi anamwambia mganga huyo ni mtu wetu chagua apone mgonjwa ufe wewe?
Usikate tamaa endelea kupambana ndugu. Ulimwengu wa ROHO Ili real.
Wapumbavu wamejaaa tele hawataki maendeleo ya watu Kazi kutesa tu.
 
Haya mambo ya Mwamposa ya kutapika (wakati nyie hampo wala hamuoni) Ni hadithi za Alinacha....

Sometimes Mama zetu ni wachawi, ila sababu tunawapenda hatuangalio huko, na kuna ndugu zetu wanatumikishwa.

Laiti tungefunguka kuona mambo wafu wetu wa Karibu wanafanya tungeelewa vitu vingi sana havina maana kwa kweli.
mbona mtoto ametapika mbele yao na ndio hivo vitu wamepiga picha hapo, mnapopinga mambo au kuyakubali hebu fanyeni kwa hoja ili mtu ajue anasimam na mguu upi
 
Ushirikina is real na hili jambo linawapeleka watu wengi kwenye shirki inayowatoa katika uislamu kabisa.
kwa nijuavyo mimi, ushirikina ni ile hali yakumshirikisha Mungu na miungu isokua Mungu, ndio kama hivo kuabudu mizimu, n.k au kuabudu kitu nakukifanya ndie mungu sasa huyu hata ramli hajatazamia wametumia maji na mafuta and then boom mtoto katapika ufunguo
 
Wakati nasoma Uzi sijafik chini nilitaka ku comment mpeleke kwa MWAMPOSA.....

Lahaula !! Kuendelea kusoma nakuta kumbe Mungu wa MWAMPOSA amesha tenda.....

Mtu kama am 4 real unge anzaje kumpeleka Kwa MWAMPOSA #TBT ilikua early 2018
Mm na brother angu mmoja tulienda kumtembelea Dada wa rafk wa bro ambao ni family friend pia
Pale tulimkuta mdogo Ake ambae ni mwalimu mkoani huko....
Ulikua ukimwangalia kama atakufa kesho.....
Muhimbil ugonjwa hauonekani wakatafutwa waganga na waganguzi wap....
Sis tukiwa wanaume tulipo enda pale tuliombwa Tags tuwasaidie kumpeleka mwenge Kwa MWAMPOSA...
Aliombewa na akaanza kutumia maji na mafutaa akapona ndani ya week Moja....

Mm ILIKUA ngumu kunishawishi kwenda kwenye makanisa ya kilokole....

Nina shuhuda nyingi sana KWA YEYOTE AMBAEE ATABISHA NAMWOMBA AENDE PALE SIKU MOJA ATAKUJA KUTUPA MREJESHO

Mwamposa is Real
 
Back
Top Bottom