Signoradellap
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 29,493
- 149,719
- Thread starter
- #341
Ukiweka zako itapendeza.Aweke sasa na contact zao [emoji16]
Ukiweka zako itapendeza.Aweke sasa na contact zao [emoji16]
Anaendelea kutumia atavitoa tu,weee [emoji848][emoji848] mpeni hayo maji
wee Dada ni muislamu ila Nina wasiwasi unataka kwenda kwa mwamposa.kwa nijuavyo mimi, ushirikina ni ile hali yakumshirikisha Mungu na miungu isokua Mungu, ndio kama hivo kuabudu mizimu, n.k au kuabudu kitu nakukifanya ndie mungu sasa huyu hata ramli hajatazamia wametumia maji na mafuta and then boom mtoto katapika ufunguo
Dada nataka kujua mnaishi wapi kwenye wachawi kiasi hiko?Ukiweka zako itapendeza.
Mungu amsaidie mtoto apone jamaniAnaendelea kutumia atavitoa tu,
Ruvuma,wilaya ya Mbinga huku ni wachawi vibaya mno.Dada nataka kujua mnaishi wapi kwenye wachawi kiasi hiko?
duh poleni sana.mimi nilikuwa najua sehemu za wachawi ni sumbawanga na tanga Kumbe hatahuko wapo..Ruvuma,wilaya Mbinga huku ni wachawi vibaya mno.
mkuu haya yote nayajua mimi sina shida ya kwenda kwa mwamposa ndugu, niaminivyo mimi Mungu ukimuomba kwa nia anakujibu, kuna vitu nilitaka uweke sawa kwa faida ya wengine kuna watu wengi sana dizain ya mwamposa, na kuhusu dini yes mimi ni mwislam lakini haijanizuia kutafta elim ya kujua mengine zaidi sasa nashangaa unaanza kuniambia vitu ambavyo hata sikuwaza,wee Dada ni muislamu ila Nina wasiwasi unataka kwenda kwa mwamposa.
unauliza shirki ikowapi wakati ipo wazi tuu.huyo jamaa akikuambia kunywa maji anakwambia nimeyaombea kwa damu yayesu.so yesu ndio mungu?huoni Usha mshirikisha mungu hapo?
imani yako ukiishika kisawasawa Wala hutababaika shida ya wabongo tunamkumbuka mungu kwenye matatizo tuu Basi.
makanisa na misikiti vipo kwawingi Sanaa jiulize kwanini wengi wanakimbilia kwa mwamposa? inamana hao wachungaji wengine hawawezi kukuombea ukapona?mwamposa yeye ananguvu gani?
huu sasa ndio mtihani mkubwa mungu katuletea utwamini mwamposa au utachukulia kawaida😅matatizo yako utampelekea mungu au mwamposa?😅
hiki nikipimo chaimani yako.
halafu mungu alivyo waajabu sio kwamba wanao enda kwa mwamposa wote wanapona😅wachache Sanaa wanapona wegi matatizo yapo pale pale😅hujiulizi kwanini?mungu anatupa mtihani ndio Mana wengine wanaamini mwamposa anaponya wengine Kama Mimi siamini
ingekuwa wanao kanyaga kwake wote shida zao zinaisha ningeamini lakini katika watu 1000 wanapona 5 au wawili😅 sasa Hapo nitaamini nini zaidi yakuwa na maswali kibao kwamba kwanini hao wengine hawaja pona wakati wamefata uponyaji?😅😅
yotekwa yote kilamtu afate anacho kiamini
kila sehem wamejaaduh poleni sana.mimi nilikuwa najua sehemu za wachawi ni sumbawanga na tanga Kumbe hatahuko wapo..
JF wengi sana chuki na magonjwa ya akili so usiwachukulie serious.Hivi kumbe huyo mtu yupo serious kiasi hiko?? mimi nilikua najua ni kama anafanya utapeli plus thread za humu
nimekujibu kutokana na swali ulilo uliza kwamba( shirki iko wapi hapo)ndio nikakijibu hivyo.mkuu haya yote nayajua mimi sina shida ya kwenda kwa mwamposa ndugu, niaminivyo mimi Mungu ukimuomba kwa nia anakujibu, kuna vitu nilitaka uweke sawa kwa faida ya wengine kuna watu wengi sana dizain ya mwamposa, na kuhusu dini yes mimi ni mwislam lakini haijanizuia kutafta elim ya kujua mengine zaidi sasa nashangaa unaanza kuniambia vitu ambavyo hata sikuwaza,
tambua tuu kuwa Kati yawatu 1000 wanao ombewa wanao pona ni watano au mmoja.kwahio inabidi ufikirie kwanzaKuna wagonjwa weng hospital hao wajuba wa maji na mafuta mbona hawafiki huko ? Hospital zikose wagonjwa.
Sema tu mmetumia maji na mafuta ya Mwamposa! Shuhuda zinajenga imani,ndio maana hata Mwamposa mwenyewe anasisitiza watu kutoa shuhuda!! Ameshapona huyo,msiache maombi!!Wassalaam,
Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.
Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.
Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.
Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena
Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.
Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.
Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...
J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.
Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.
Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?
View attachment 2538649View attachment 2538650
Komaa na hiyo imani na hicho anachotumia usiache,kwani hayo ni mapepo na atakuwa amelishwa hayo mavitu akiwa ndotoni,huo ni pure ushirikina...Wassalaam,
Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.
Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.
Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.
Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena
Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.
Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.
Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...
J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.
Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.
Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?
View attachment 2538649View attachment 2538650
mkuu hata sisi tuna mashehe hutufanyia visomo au kuyasomea majo na ukanywa na mtu akapata relief je nayo ni shirki?? kitu pekee nikuambie sjawah kumuamini mwamposa sijawah kabisa lakini ninaona shuhuda ikiwemo ya dada yangu katika iman hapa ndio nikashtuka kwamba yupo serious hivi?? nanashukuru kuna mengi nimeyajua ila tu mwisho wa siku ni imani, imani yangu huniambia Mungu ukimuomba hata kilugha anaelewanimekujibu kutokana na swali ulilo uliza kwamba( shirki iko wapi hapo)ndio nikakijibu hivyo.
namimi nakuuliza.kwenda kwa mwamposa kuombewa kwako nishirki au sio shirki?
mashehe maji wanayaombea kwa jina la Nani?mwamposa nae?mkuu hata sisi tuna mashehe hutufanyia visomo au kuyasomea majo na ukanywa na mtu akapata relief je nayo ni shirki?? kitu pekee nikuambie sjawah kumuamini mwamposa sijawah kabisa lakini ninaona shuhuda ikiwemo ya dada yangu katika iman hapa ndio nikashtuka kwamba yupo serious hivi?? nanashukuru kuna mengi nimeyajua ila tu mwisho wa siku ni imani, imani yangu huniambia Mungu ukimuomba hata kilugha anaelewa wala