Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,300
- 4,003
Watu wa visomo na wapasua Nazi zilizoandikwa kiarabu ndio madaktari husika?Nikuulize wewe kwamba anapata faida gani kuleta huu uzushi na upotoshaji humu ndani? Je, amelipwa na huyo mtumishi wa mchongo anayemtangazia biashara? Anataka awapoteze wangapi ambao badala ya kwenda kwa Madaktari husika wataenda huko huku wakizidi kupotea zaidi?
Baba yangu mdogo ni Sheikh, mwanae mmoja alikua ana sumbuliwa na uchizi tuu wa ghafla...walifanya madua, visomo, peleka kwa waganga nyie mna waita miamba siku hizi au Sheikh...wapi
Tukampelekea mafuta mama MTU akawa anachanganyia katika chakula yule kijana...hadi alipona.
Ila yule Mzee bado anashaka sijui uoga wa kutumia mafuta yeye binafsi.
Mkewe ni kiongozi na Mwalimu wa Madrasa ya wamama huko msikitini ila maji na mafuta anaagizia daily.