Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Dumu katika maombi

Mungu ana kusudi na binti lakini sheitwan anapambana kuzuia kusudi hilo
 
Mkuu kweli amefunguka ila nyuma ya pazia nikwamba moyo wake umesgageuzwa na kuwa mtumwa atakiri yesu atakiri mungu ila bila maarifa [emoji17][emoji850]

Kapotea anae toa bure ni Mungu tena bila sharti ila hapo 100% ni nguvu nyeusi

HAUTA NIELEWA KAMWE ILA YATAFUTE MAARIFA UTAJUA UKWELI
Hii comment ilitakiwa ifunge uzi. Period
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Muwe makini tu na mdogo wako awe mtu wa maombi sana maana hao watu hawatakubali kushindwa watarudi na kombola hatari zaidi.
 
Ila shahada zimeshindwa mponyesha kwa miaka yotee aliyoteseka

#YNWA
Mtu karogwa na ustazi halafu unategemea ustazi mwengine amponye. Mbinu lazma zibadilike. Mi kuhusu imani mtu asiniambie lolote yani. Mungu yupo na uchawi upo.

Watu sikuhizi wanataka matokeo. Sio unaomba bila bila ndio maana hata hao watumishi wamejiongeza kuboresha huduma. Kama mafuta yanaondoa mapepo na maji yanasafisha uchawi mwilini kwanini watu wasiyatumie?
 
Mtaishia kubishana quran na yesu wakati mada yenyewe imetungwa hii. Sijui kwanini mnapenda kulumbana juu ya hizi dini mbili mlizoletewa na wakoloni. Wazungu na waarabu ni watu wa kulaumiwa sana kwenye hili, wamepumbaza akili zetu sana.
 
Back
Top Bottom