Hivi vitu vina maana gani?

Hivi vitu vina maana gani?

Imani za kijinga Sana hizo peleka mgonjwa muhimbili akahudumiwe na specialist wew uliona hivo vitu vinavotoka?? Hao waombeaji sijui waganga wanakujaga navyo hivo halaf wanajitia vimetoka kwa mtu
Muhimbili ya wapi tumpeleke,maana muhimbili ya Dar walisema Hana shida!!!

Nipe location,
 
mimi kuna siku alikua live hapo kawe nikawa naangalia tu kipi kinaendela akawa na maombi kuna rafiki yangu alinyanyua tu glass ya maji kule kweye tv waliambiwa wayanyanyue yale maji akanywa bas alilegea mnoo yan kama anaskia kichef chef tukabadili channel lakini hatukua na hio iman kwamba kipo kitu halaf tulikua tunafanya just for fun
Mwamposa alimloga hapo
 
Mnaokomaa tumpeleke hospital,inamaana siye ni wapumbavu,???

Huyu mtoto baada ya kutokewa na hii shida alipelekwa hospital,

Mbuyula hosp file lake lipo na alishayoeleka maana kila akipimwa homa Hana na kuishia kupigwa dripu kusubiri azinduke, Tena hapa waliitisha Hadi kadi la kliniki la mimba na hakuna kitu,,wanataka kumuanzishia dozi ya kifafa Tena Kuna Dr akatushauri tusimpe dozi zitamuhathiri,

Litembo hosp tumeenda na Hana shida,

Peramiho hosp tumeenda na Hana shida,

Ikonda hosp tumeenda na Hana shida,

Amana hosp kaenda mwaka Jana na Hana shida,

Muhimbili kaenda na Hana shida,

Mnazi mmoja znz kaenda na Hana shida,,

Sasa sielewi labda tungempeleka India wakamchomoe Figo???

Msipende kuhukumu kwa vitu ambavyo hamvijui,,wanaojua wamekaa kimya,Estugo

All the all dogo yupo fresh kwasasa,. Yupo na furaha

Kwa mateso aliyoyapitia mdogo wangu hata ningeambiwa nikakumbatie transifoma dogo apone ningekumbatia.
 
Ujinga ni Mzigo

Unaacha kuamini katika uwezo wa jina na damu ya Yesu iliyotupa ukombozi unaamini mafuta na maji
 
Wassalaam,

Nina mdogo wangu yupo na miaka 13, kidato cha kwanza.

Huyu mtoto kiukweli ameteseka sana na baadhi ya mambo aliyoyapitia huyu mtoto yanatisha.

Alivyokuwa darasa la tano alipatwa na matatizo ya kuzimia,tatizo la kuzimia alianzia nyumbani na hiyo siku alikuwa katoka shule,alivyoingia ndani tulisikia akipiga kelele na kuanguka, tokea hapo alikuwa anazimia bila mpangilio hasa akienda shule hasomi.

Ikapelekea tukamuhamishiaa shule ya jirani na nyumbani,lkn kila akienda shule anazimia, Tumepambana sana na tiba na visomo lkn kama inapoa tu baada ya muda kinaumana tena

Alivyomaliza shule tukampeleka znz nyumbani kwaajili ya tiba, maana alikuwa akizimia anapandisha mashetani akizinduka anapotolea kusiko julikana. Kafanyiwa tiba znz na tukaambiwa kapona na hayawezi mtokea tena.

Karudi home, tumempeleka shule kaingia darasani wiki moja tu kimeumana tena kila akienda shule anazimia, Kiukweli tu, wenyewe tumeshachoka na hii hali ya dogo maana tumezunguka sana kutafuta tiba na visomo lkn hakuna wapi.

Wiki iliyopita kaanza kutumia maji na mafuta ya...

J,nne karudishwa shule kasema anakuhoa sana na mbavu zinambana na kuna kitu kimemkaba kohoni kama anataka akitapike.

Leo usiku baada ya kufuatilia maombi katapika vitu hivi.

Hivi kama kavitoa hivi inamaana hatosumbua tena?

View attachment 2538649View attachment 2538650
Poleni sana nafuu yake itapatikana inshallah
 
Mnaokomaa tumpeleke hospital,inamaana siye ni wapumbavu,???

Huyu mtoto baada ya kutokewa na hii shida alipelekwa hospital,

Mbuyula hosp file lake lipo na alishayoeleka maana kila akipimwa homa Hana na kuishia kupigwa dripu kusubiri azinduke, Tena hapa waliitisha Hadi kadi la kliniki la mimba na hakuna kitu,,wanataka kumuanzishia dozi ya kifafa Tena Kuna Dr akatushauri tusimpe dozi zitamuhathiri,

Litembo hosp tumeenda na Hana shida,

Peramiho hosp tumeenda na Hana shida,

Ikonda hosp tumeenda na Hana shida,

Amana hosp kaenda mwaka Jana na Hana shida,

Muhimbili kaenda na Hana shida,

Mnazi mmoja znz kaenda na Hana shida,,

Sasa sielewi labda tungempeleka India wakamchomoe Figo???

Msipende kuhukumu kwa vitu ambavyo hamvijui,,wanaojua wamekaa kimya,Estugo

All the all dogo yupo fresh kwasasa,. Yupo na furaha

Kwa mateso aliyoyapitia mdogo wangu hata ningeambiwa nikakumbatie transifoma dogo apone ningekumbatia.
poleni kwa mahangaiko, kila kitu ni imani
 
Ni Imani kama unaamini kupitia Imani bila kubagua dini.. Kasome biblia kitabu cha waefeso tu kitakutosha kuyakabili hayo madude yanayo msumbua mdogo wako

Ukiwa unamuombea fanya citation ya biblia.. Utajikuta maombi yako ya nakuwa so powerful na usiogope hivyo vitu unavyoogopa ndo unavyovipa nguvu
 
Mnaokomaa tumpeleke hospital,inamaana siye ni wapumbavu,???

Huyu mtoto baada ya kutokewa na hii shida alipelekwa hospital,

Mbuyula hosp file lake lipo na alishayoeleka maana kila akipimwa homa Hana na kuishia kupigwa dripu kusubiri azinduke, Tena hapa waliitisha Hadi kadi la kliniki la mimba na hakuna kitu,,wanataka kumuanzishia dozi ya kifafa Tena Kuna Dr akatushauri tusimpe dozi zitamuhathiri,

Litembo hosp tumeenda na Hana shida,

Peramiho hosp tumeenda na Hana shida,

Ikonda hosp tumeenda na Hana shida,

Amana hosp kaenda mwaka Jana na Hana shida,

Muhimbili kaenda na Hana shida,

Mnazi mmoja znz kaenda na Hana shida,,

Sasa sielewi labda tungempeleka India wakamchomoe Figo???

Msipende kuhukumu kwa vitu ambavyo hamvijui,,wanaojua wamekaa kimya,Estugo

All the all dogo yupo fresh kwasasa,. Yupo na furaha

Kwa mateso aliyoyapitia mdogo wangu hata ningeambiwa nikakumbatie transifoma dogo apone ningekumbatia.
Mpeleke hosp zenye wataalamu bingwa na kwenye vifaa vya maana. Kama ana kifafa mpeleke akatibiwe. Acha Imani potofu
 
Yeah,wengi walitaka kusikia hivyo Kama wewe kuwa Ana kifafa,

Lkn sio hivyo,,,. Kiukweli tu dogo tumeenda nae hosp na Hana shida,,

,Sasa sijui tungempeleka hosp ya sayari ipi?
 
Dogo yupo poa anaenda shule vizuri,. Yaani mwenyewe anasema kapona hakuna kinachomuuma na Wala ahisi chochote kibaya yupo na amani kuliko mwanzo,

Nb,,,Maombi anaendelea,

God is good,

Niwakanushe baadhi mnaoshupaa kusema nipo kupiga kampeni,

Hamjui na hamnijui na wanaojua na wanajua,,,,,,,
 
Daah kumbe haya mambo ni serious eeh?

Sasa walimmezesha vipi hayo mazaga?
 
Back
Top Bottom